UKAWA na CHADEMA Amkeni, Propaganda Zitawamaliza

UKAWA na CHADEMA Amkeni, Propaganda Zitawamaliza

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
596
Reaction score
881
Salaam wanaJF,

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mchakato kuelekea uchaguzi na pamoja nakuunga mkono juhudi nyingi za upinzani kupitia Ukawa na Chadema kuna baadhi ya vitu ambavyo nimekuwa nikishangaa kwa nini havifuatiliwi.

Kuna kauli ambazo Chama Cha Mapinduzi imekuwa ikizitoa kupitia kwa viongozi wake hasa Katibu Uenezi na Itikadi Nape Nnauye.Kauli ya 'Goli la Mkono' ikiwa kubwa na nyingine nyingi ikiwemo ya Mwenyekiti wao pia akisema wana 'ujuzi,maarifa na uzoefu' wa kushinda uchaguzi hivyo ni lazima washinde ikifika oktoba.Sasa nimekuwa nikijiuliza wakati CCM ikitumia propaganda na kauli za kibabe kama hizi ofisi ya uenezi Chadema ipo wapi??

Ni nani anahusika na propaganda huku Chadema na Ukawa??Pamoja na kubishana kwa hoja na Sera napenda kuwakumbusha viongozi wa Ukawa kuwa bado kuna kundi kubwa la watanzania ambao hawana uelewa thabiti hasa wa vijijini hivyo huishia kuamini na kushabikia propaganda hizi za CCm.

Yaani maneno ya kuwa Lowassa fisadi na Chadema imenunuliwa na hela ya Richmond na mengine mengi yanahitaji ofisi madhubuti ya propaganda kuzijibu na siyo hotuba tu.Nasema tena Hoja na Sera hazisikilizwi na wote na huu umekuwa ukweli ambao CCm imekuwa ikiutumia kubaki madarakani.

Tunataka kuwepo hiki kitengo..yaani wakisema Chadema Richmond na nyie mjibu mbona Raisi na mwenyekiti wenu alimnyanyua mkono 2010 na kumpigia debe kuwa msafi??mbona kinana alifanya hivyo pia??kwa hiyo walikuwa wanatudanganya,wanafiki au akiwa CCm ndo msafi??

Mbona alikuwepo miaka 8 hajaguswa??yaani haya mambo yasipojibiwa Ukawa na Chadema watafungwa magoli hata kabla ya mechi kuanza..tena hat trick kabisaa.

Kukaa kimya kwa kitengo/ofisi hii kutaigharimu sana Ukawa na Chadema..

Itikadi na Uenezi/Propaganda Ukawa na Chadema amkenii..Hamtashinda kwa hoja na Sera tu au kurundika wajumbe na mabango,watanzania wengi wanakuwa brainwashed na propaganda za CCm huku mitaani.Tumieni ujuzi wenu wa hizo digrii za political science basi..

Asahnteni.
 
Wakanushe pia kwamba Lowassa hakuita vyombo vya habari kwamba majeshi yetu yako tayari kwenda kupigana ziww Nyasa kupitia kamati yake ..rais wa hivi ikitokea akachokozwa tu si atakuwa kama kiboko Wa majini ambaye huwa akiguswa hats na jani huwa anakunya ndoo kumi ..huyu naye si atakuwa hivyo? ishu ile ya Rwanda mwaka jana si angeingia vitani huyu? jamaa si mwana diplomasia na hana busara za wazee japo yeye ni Mzee, ana mihemko na ndo maana anafanya vihoja daily, leo Mzee mzima unahama chama kwanini hukuhama ukiwa kijana kama akina Zitto, leo ndo umeona nini? harakati za miaka ya uzee wakati ujana wote umelia hukohuko? this is marvellous indeed!
 
pole mkuu naona daktari kakuzishia dose. Mwambie magufuri kwanza ajibu hoja za CAG mkaguzi mkuu wa serikali hayo mabilion yanayozidi ya EPA mara kadhaa yaliebda wapi au ndo yalikuwa maandalizi ya uchaguzi.
 
du unataka dunia nzima tumuunge mkono lowassa? kwa sababu wewe una mahaba?

Wakanushe pia kwamba Lowassa hakuita vyombo vya habari kwamba majeshi yetu yako tayari kwenda kupigana ziww Nyasa kupitia kamati yake ..rais wa hivi ikitokea akachokozwa tu si atakuwa kama kiboko Wa majini ambaye huwa akiguswa hats na jani huwa anakunya ndoo kumi ..huyu naye si atakuwa hivyo? ishu ile ya Rwanda mwaka jana si angeingia vitani huyu? jamaa si mwana diplomasia na hana busara za wazee japo yeye ni Mzee, ana mihemko na ndo maana anafanya vihoja daily, leo Mzee mzima unahama chama kwanini hukuhama ukiwa kijana kama akina Zitto, leo ndo umeona nini? harakati za miaka ya uzee wakati ujana wote umelia hukohuko? this is marvellous indeed!
Well said, but only those with common sense will understand the points you bring up!
 
Sasa Ukawa wakiamua kumchafua huyo Magufuli atasalimika kweli?
Kile kivuko ni kashfa tosha.
 
Safi kabisa kunatakiwa kuwe na kitengo maalumu cha kujibu propaganda haraka. Hata mimi naona km ukawa wanajisahau wskati majibu yapo, Amkeni ukawa/chadema. Kila propaganda ijibiwe. Mafisadi wliotajwa hata kijwete yumo.
 
Wakanushe pia kwamba Lowassa hakuita vyombo vya habari kwamba majeshi yetu yako tayari kwenda kupigana ziww Nyasa kupitia kamati yake ..rais wa hivi ikitokea akachokozwa tu si atakuwa kama kiboko Wa majini ambaye huwa akiguswa hats na jani huwa anakunya ndoo kumi ..huyu naye si atakuwa hivyo? ishu ile ya Rwanda mwaka jana si angeingia vitani huyu? jamaa si mwana diplomasia na hana busara za wazee japo yeye ni Mzee, ana mihemko na ndo maana anafanya vihoja daily, leo Mzee mzima unahama chama kwanini hukuhama ukiwa kijana kama akina Zitto, leo ndo umeona nini? harakati za miaka ya uzee wakati ujana wote umelia hukohuko? this is marvellous indeed!

Kama Lowasa angekuwa Rais inamaana tungekuwa vitani na Malawi, Rwanda, Congo, Somalia. Hapana kabisa aende akafanye biashara zake, tukumbuke tunachagua amiri jeshi mkuu na kiongozi wa taifa, tunachangua mtu atakayeweza kuamuru majeshi yetu yaingie vitani, tunachagua mtu atakayeweka sahihi watu wanyongwe, tukijichanganya itakula kwetu fasta.
 
CCM mwaka 1995 wakati Mrema alipotaka kuingia Ikulu, Nyerer ambaye alikuwa kwenye benchi ya ufundi ametulia, aliingia uwanjani na kumtoa Mrema dakika za majeruhi, yaani dakika 95 ya mchezo. Safari hii CCM ina reserve kwenye benchi ya ufundi, yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Nafikiri mwaka huu reserves hawa wataingia mapema mno na mechi itaisha dakika 90 bila nyongeza!
 
Watajiaibisha maana lowassa atamwaga mboga ikiwa watathubutu kumsema vibaya.
 
Dumbuya, fanya utafiti ndg yangu.Kama ccm wanasubiri kyuza Sera kwa uchaguzi wa mwaka huu imekula kwako.Hivi navyoandika chungulia humu chumbani kuna mkubwa wa ccm na mwenyezi wake wameshapa da gari.Ss ndo linaondoka hivyo.Naomba kesho Mungu akupe uzima mshuhudie gharika na Si mafuriko tena.Nawatakia uuzaji mwema wa Sera zinalenga kuendeleza wizi.Watanzania wanajitambua sasa.
 
Sasa hivi kuna vitengo viwili team Lowassa na Uenezi Chadema nani wa kujibu hizo propaganda.

Huoni taarifa zote za CHADEMA zimezima, sasa hivi taarifa zote ni za Lowassa tu.

Zile kauli za Chadema inataka kuchukua nchi ama upinzani unataka kuchukua nchi zimekufa....sasa hivi kauli ni Lowassa anataka kuchukua nchi...
 
Dumbuya, fanya utafiti ndg yangu.Kama ccm wanasubiri kuuuza Sera kwa uchaguzi wa mwaka huu imekula kwako.Hivi navyoandika chungulia humu chumbani kuna mkubwa wa ccm na mwenezi wake wameshapanda gari.Ss ndo linaondoka hivyo.Naomba kesho Mungu akupe uzima mshuhudie gharika na Si mafuriko tena.Nawatakia uuzaji mwema wa Sera zinazolenga kuendeleza wizi.Watanzania wanajitambua sasa.
 
Lowassa anaijua ccm kuliko unavyodhani hata mfumo wauibaji kura ccm anaujua
 
Lowassa anaijua ccm kuliko unavyodhani hata mfumo wauibaji kura ccm anaujua

Ni hajabu kusema anaijua wakati wao ndo wamemlea, hivi kati ya mtoto na mama ni nani anamjua sana mwenzie? tatizo mmekaririshwa na hamjuhi kujenga hoja, sasa rudi kawaambie wakufundishe upya make hapa haupiti hata kwa gharika dogo
 
UKAWA unawatu waliona taluuma mhimu.LAZIMA KUWE NA USHIRIKIANO KATI YA TEAM LOWASA ,M4C NA VITENGO VINGINE KUWA NA CENTRAL COMMAND HASA KURATIBU ACTIVITIES ZOTE.KITENGO CHA PROPAGANDA KIUNDWE AU KIIMARISSHWE NA WA SHIRIKIANE NA VITENGO VINGINE ILI KILA PROPAGANDA KISIPUZWE,ISHUGULIKIWE IPASVYO.
 
CCM mwaka 1995 wakati Mrema alipotaka kuingia Ikulu, Nyerer ambaye alikuwa kwenye benchi ya ufundi ametulia, aliingia uwanjani na kumtoa Mrema dakika za majeruhi, yaani dakika 95 ya mchezo. Safari hii CCM ina reserve kwenye benchi ya ufundi, yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Nafikiri mwaka huu reserves hawa wataingia mapema mno na mechi itaisha dakika 90 bila nyongeza!

Mkuu hili linaisha mapema tu make wanahangaika kucheza wasioijua inaanzia wapi, dakika ya 70 tunaenda kulala make CCM ni kama mvinyo uliokomaa, kadiri unavyolala ndo utakulewesha zaidi
 
Back
Top Bottom