karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Mkuu jaribu kulinganisha watu wa ukawa na hawa wa kinana halafu ujipe alama wewe mwenyewe kabla sijakupa alama zangu.Hivi ndivyo ilivyokuwa mwanza,wakati kamanda mawazo alipokuwa mgeni rasmi hapa jijini mwanza,kweli mkuano ulifana sana,big up makamanda wa ukawa
Kwa upande mwingine vijana wengi tunaamini katika muundo wa seriakli mbili siyo hizo tatu za ukawa ni mbili tu kama ummy mwalimu anavyokuonesha kweny hii picha alipokuwa zanzibar.