UKAWA msitegemee Ushirikiano wowote ktk kwa Raisi Magufuli!, Mnaboa!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Mnamtukana Raisi Magufuli kila siku, mligoma kumtambua, mkamsusuia Bunge alivyokuwa anahutubia na kumzomea juu, huu niudhalilishaji mkubwa ambao hakuna Raisi wa nchi aliowahi kufanyiwa, siku zote TanZania kiti cha Uraisi kinaheshimiwa halafu leo hii mnataka Raisi Magufuli awatriti sawa na WatanZania wengine, hivi mnafikiri Raisi Magufuli kifuani ameweka jiwe na hana Moyo kama ninyi?

Hata yeye ana moyo na hivyo msitegemee ushirikiano wowote ule ktk kwa Raisi Magufuli na Serikali kwa kipindi chote cha miaka 5 kwa maana tangu siku ya kwanza mligoma kumtambua na zaidi ya hapo mkamzomea na isitoshe hawahitaji kwa lolote ila mnamuhitaji ili mfanikishe kazi zenu za Kihalmashauri na Kibunge, sasa kazi kwenu!!
 
Hasa wanapokuwa na less constructive ideas na kukosoa kila kitu ata kizuri.
Tusifu panapostahili kusifu na tukosoe panapotakiwa kukosoa
 
Back
Top Bottom