UKAWA msiruhusu tena hali hii

UKAWA msiruhusu tena hali hii

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Hili la watu kung'ang'ania majimbo bila kufuata utaratibu wa makubaliano ya mgawanyo wa majimbo limewacost sana! Sasa Viongozi wa kitaifa UKAWA msikubali kumruhusu mtu achukue form ya kugombea kama hataki kufuata utaratibu, kama hataki mtoeni kwenye uanachama.

Hili pia limechangiwa sana na kuchelewesha kutoa mgawanyo wa majimbo, sasa ikiwezekana mgawanyo uwekwe mapema ikiwezekana hata mwaka mmoja kabla ili baadhi ya watu wasihangaike kujitengenezea mazingira mapema kwa kupoteza rasilimali zao.
 
Yaliyotokea Segerea na kwingineko ni fundisho zuri sana
 
Segerea ilala na kigamboni tumeyakosa kutokana na kichwa ngumu wa chadema na cuf
 
Hili la watu kung'ang'ania majimbo bila kufuata utaratibu wa makubaliano ya mgawanyo wa majimbo limewacost sana! Sasa Viongozi wa kitaifa UKAWA msikubali kumruhusu mtu achukue form ya kugombea kama hataki kufuata utaratibu, kama hataki mtoeni kwenye uanachama.

Hili pia limechangiwa sana na kuchelewesha kutoa mgawanyo wa majimbo, sasa ikiwezekana mgawanyo uwekwe mapema ikiwezekana hata mwaka mmoja kabla ili baadhi ya watu wasihangaike kujitengenezea mazingira mapema kwa kupoteza rasilimali zao.

Ni wazo ambalo utekelezaji wake unatoka kwenye mamlaka husika siyo kila mtu anajitangazia tu na kuna taratibu zake. Hayo ya ukawa ni mambo madogo sana na ni masuala binafsi. Msiwalaumu maana waliona hawakutendewa haki ndio maana hao yametokea. Taifa kwanza ukawa baadae
 
Hili la watu kung'ang'ania majimbo bila kufuata utaratibu wa makubaliano ya mgawanyo wa majimbo limewacost sana! Sasa Viongozi wa kitaifa UKAWA msikubali kumruhusu mtu achukue form ya kugombea kama hataki kufuata utaratibu, kama hataki mtoeni kwenye uanachama.

Hili pia limechangiwa sana na kuchelewesha kutoa mgawanyo wa majimbo, sasa ikiwezekana mgawanyo uwekwe mapema ikiwezekana hata mwaka mmoja kabla ili baadhi ya watu wasihangaike kujitengenezea mazingira mapema kwa kupoteza rasilimali zao.

Jimbo la mtatiro limenisikitisha sana
 
Anatropia kaniuzi sana
Na hakufanya kwa bahati mbaya
Hii ni makusudi kabisa
Ila kipekee nimshukuru mtatiro pamoja na makamanda wengine kwa kutuletea madiwani wa jimbo zima hivyo bonah moses kaluwa ajipange kua mmpole. Sana
 
Kuna majimbo yatakuwa wazi very soon and sporadically after the start of the Bunge..
Ushauri mzuri sana huu.

NB: Ila kwa yale majimbo ambayo hayajatangazwa ni haramu kwa mgombea wa UKAWA kukubali kuhesabu kura upya moja baada ya nyingine..!! Badala yake watumie na walazimishe kutumia documents za majumuisho toka vituoni..!!
 
Kama hizo documents zimejazwa vibaya?
 
Back
Top Bottom