UKAWA msimjibu Nape Nnauye

UKAWA msimjibu Nape Nnauye

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo. Hayo anayoyahubiri (sitaki kuyasema) ndio sera yao CCM kila uchaguzi, kwa lengo la kutuvuruga wananchi tusifanye mabadiliko. sisi wananchi wapenda amani tulishayapuuza kitambo na hatuyaruhusu yatugawe.

JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MKIZINGATIA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.
 
UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo.

JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.

Nakubaliana na wewe ila niongezee kitu kimoja ambacho wengi hawakielewi.

Muda wa kuanza na kuisha kwa kampeni ni 08:00AM hadi 06:00PM.

Hii SIO SHERIA bali ni KANUNI tu iliyowekwa na Tume ya Uchaguzi. Haipo kwenye Katiba ya nchi.

Kuvunja kanuni sio kosa la jinai linalopelekea kukamatwa na polisi au kufunguliwa mashtaka. Ila tu inabidi wapewe onyo na Tume ya uchaguzi, iliyoweka kanunu hiyo.
 
Nakubaliana na wewe ila niongezee kitu kimoja ambacho wengi hawakielewi.

Muda wa kuanza na kuisha kwa kampeni SIO SHERIA ni KANUNI tu iliyowekwa na Tume ya Uchaguzi. Haipo kwenye Katiba ya nchi.

Sawa Mkuu nimekuelewa.
Wapenda amani na mabadiriko tunasema anayoyahubiri Nape yapuuzwe kwani ni sera ya chama chake kila uchaguzi
 
Nakubaliana na wewe ila niongezee kitu kimoja ambacho wengi hawakielewi.

Muda wa kuanza na kuisha kwa kampeni SIO SHERIA ni KANUNI tu iliyowekwa na Tume ya Uchaguzi. Haipo kwenye Katiba ya nchi.

Kuvunja kanuni sio kosa la jinai linalopelekea kukamatwa na polisi au kufunguliwa mashtaka. Ila tu inabidi wapewe onyo na Tume ya uchaguzi, iliyoweka kanunu hiyo.

Lakini lema kule Arusha walimkamata hao hao Polisi eti kazidisha dakika kadhaa za mkutano wake.
 
CCM hawana Moral Authority tena ya kuliongoza Taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano kwani wao wamekuwa vinara wa ubabe na Upendeleo. Hawafai tuwaoweke kando wakajipange watuachie Tanzania yetu ya Amani Upendo na Umoja.
 
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo. Hayo anayoyahubiri (sitaki kuyasema) ndio sera yao CCM kila uchaguzi, kwa lengo la kutuvuruga wananchi tusifanye mabadiliko. sisi wananchi wapenda amani tulishayapuuza kitambo na hatuyaruhusu yatugawe.

JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MKIZINGATIA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.

Swala linalo gusa maadili yanatakiwa kulindwa!Tunahitaji japo viongozi wenye utashi na uthubutu wa kuweka mambo sawa paleanapojikwaa. Kwa UKAWA wakiweza kwa moyo wa uthubutu waliweke hili sawa kwamasilahi mapana ya taifa letu.
Tunahitaji viongozi wenye kuweza kusimamia maadili ya pande zote.Kwa asiyeweza basi huyo hawezi kusimamia masilahi yetu sote. Kuna mambo mengi ambayo watu huyategemea kwakiongozi hasa anapokuwa amepewa uongozi hivo tunaomba haya mambo yasichukuliwekwa ujumla tu na kuyapuuza.
 
Basi ifanyike hivyo hivyo kwa kauli ya goli la mkono na Kuzidisha muda wa kampeni ili haki itendeke.
 
Watanznia kipande cha video kinacho sambazwa kikimwomesha LOWASSA eti akiomba kura Kanisani siyo kweli hiyo ni propaganda ya ccm kupitia Polepole ambaye alitengeneza video hiyo na kuisambaza hara kwenye video , ukiisikiliza vizuri utasikia sauti mbili , kunatarifa kuwa chama kinafanya mkakati ili kimfungulie mashaka ya kutengeza video ya uchochezi , ikumbukwe kuwa video kama hii ilisha wahi kutengenezwa ikimwonesha Afisa ulinzi Wa chadema Rwakatale eti akipanga ugaidi baada ya kufuatilia ikagundulika ni video ya kutengenezwa ni lazima sote tupuuze propaganda za ccm , awali walikuja na ufisadi ,ukanda, ugonja vyote vikashindwa sasa wametingeneza video kupitia Hamfrey polepole na kuisambaza wakati huohuo wamepanga , vyombo vya habari na magazeti ya ccm yaandike haraka hizo habari, hizo ni propaganda ni lazima wapuuzwe na ccm tunawaonya kuwa kutafuta kura kwakuleta udini au ukanda hafai hiyo ni dhambi itakayo wameza,MAGAZETI YALIO ANDIKA YOTE NI YA CCM NA YOTE YANA KICHWA KIMOJA CHA HABARI,HIVYO WALIPANGA TUNAJUA SILAHA CCM WALIO BAKI NAYO NI KUTUMIA UDINI KITU AMBACHO HAWATAFANIKIAWA
 
Hao jamaa hawana jipya baada ya kuona mbinu zao chafu zinagonga mwamba wanakuja na mbinu nyingine mpya,huo udini wao ndo wanao uhubiri,hata hivyo wapiga kura wako makini hawayumbishwi na ulaghai wao
 
Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja la udhalimu duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.
 
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.

UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo. Hayo anayoyahubiri (sitaki kuyasema) ndio sera yao CCM kila uchaguzi, kwa lengo la kutuvuruga wananchi tusifanye mabadiliko. sisi wananchi wapenda amani tulishayapuuza kitambo na hatuyaruhusu yatugawe.

JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MKIZINGATIA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.

SAFIII HAVURUGIKI MTU HAPA NI LOWASSA TU,TUNAMPENDA LOWASSA...BODABODA LOWASSA Enhee! Enhee!...LOWASSA,KINA MAMA...LOWASSA,KINA BABA...LOWASSA,NA VIJANA LOWASSA,TUNAMPENDA LOWASSA...Enhee! Enhee!...LOWASSA...CCM WATASUBIRI SANA NA BADO×3...Ooh! Woo Woo LOWASSA HUYO!
 
Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.

Wewe ndo una upofu wa akili sasa maana video ile imefanyiwa editing na ina sauti mbili mbili YA LOWASSA MWENYEWE ambayo ni ndogo sana NA IYO INAYOSIKIKA AKIONGELEA UDINI...ALAFU MNATAKA WATU WAAMINI UPUUZI WENU SIO???
☆HAPA NI LOWASSA TU FROM A TO Z!
☆UTAKI JIHARISHIE!
 
Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.

Hivi kauli ya Ushindi wa goli la mkono ni Moral Authority?
Hivi kuzidisha muda wa kampeni ni moral authority?
Hivi kukumbatia mafisadi wa Escrow na kubeba pesa kwenye Lumbesa ni Moral Authority?
Hivi kubeba Twiga kwenye ndege ni Moral Authority?
Hivi kuwaita watanzania W.A.P.U.M.B.A...U na M.A.L.O.F... ni moral authority?
Hivi kununua kivuko chakavu ni moral authority?
Hivi kuendelea kulipa mishahara hewa ni moral authority?
KAJIPANGE UJE TENA NA CCM YAKO.
 
Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja la udhalimu duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.

Bavichaa wametumwa humu kwenye mitandao kupinga, kutukana, na kuharibu mijadala. Hiyo ni agenda yao kabisa, na sisi tunaelewa hilo.

Tazama watakavyokutuna.

Mwisho wa siku dhamiri huwa zinawasuta hawalali mpaka wanywe gongo.
 
Back
Top Bottom