UKAWA: mnausishwa hapa

hata 25 oktoba waandike vibaka vya mtupa magufuli nje ya ikulu
 



hiv kwa jns amavyo nmeona umati wote huo, wote hao wawe n vbaka? ama kwel ccm wana hali ngumu, hilo c gazeti la serikal, halafu na huyo mwandishi na mhariri wanakubar tu kuandkishwa hvyo!!!
aisee, kwa nnavyozan mm, ukiwachukua vbaka wote Tz, ukawaweka pamoja, hawafikii hyo nyomi ya jana,
 
Kweli, huyu mwandishi alipaswa kukamatwa na kuwa mfungwa wa mfano katika ile sheria ya makosa iliyosainiwa majuzi.
Mimi kila nikifikiria walivyoipitisha ile sheria ya makosa ya kimtandao....na ile ya takwimu serikali ndio nazidi kuichukia CCM......VIVA UKAWA......VIVA LOWASAAA.....
 
Kwenye red na yellow haueleweki hapo mkuu, hebu tupate kauli za walioporwa na hao vibaka.
Pili; Hao wenye magari yaliopondwa na mikono na kupinda waje au waende ofc za CHADEMA, CUF, NLD au NCCR ili walipwe!.
**Usilete habari za kusikia na kumsemea mtu uongo.
 
huyo mwandishi itakuwa aliandika akiwa amekalia rungu la nyama, sio akili yake bali hicho alichokuwa amekalia wakati anaandika ndo kilimpoteza
 
Hv kwann uhuru wanaongea vitu vya kichochezi hv mtatujua trh 25 /10 lazim tuwafundishe adabu mtakimbia nchi
 
Sikumbuki nilisoma lini mara ya mwisho gazeti la UHURU la CCM. Huna haja kuumiza kichwa kwa sababu Uhuru ni gazeti la CCM pamoja na Radio Uhuru na Mzalendo. Wamezoea misamiati ya wizi kwa kuwa Mwenyekiti wao alisema wazi wako na uzoefu na mbinu za kuiba
 
Umesema yote mkuu, kwa ufupi lakini kwa usahihi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…