Onyo kwa UKAWA hapo mlipochoma basi msije mkajaribu Mkuki kuutoa ,Zenji twasema mtaimbo umewaganda akina Sita na kundile ,mpaka muhakikishe wamekata roho. CCM wabaya sana sana.
sasa nyie Wazanzibar si muwasaidie hao UKAWA na CHADEMA km kweli hamuutaki Muungano
Hapo mmeshaanza kujitenga wnaandamana watu wa Musoma
lakini Unguja na Pemba ni shwari
kweli sitakaa niwaamini tena wanaotaka kuuvunja Muungano hasa kutoka Visiwani
kwani Mbunge Mh Kessy wa Jimbo la Nkasi aliwananga Wabunge wote wakakubali Muungano unafaa na sababu kibao
Onyo kwa UKAWA hapo mlipochoma basi msije mkajaribu Mkuki kuutoa ,Zenji twasema mtaimbo umewaganda akina Sita na kundile ,mpaka muhakikishe wamekata roho. CCM wabaya sana sana.
Mwiba, chei cheii, kiswahili cha Zenji huwa kinanifurahisha sana. Huwa nakuja Zenji kufanya utalii wa utamaduni mojawapo ikiwa kujifunza lafudhi ya ki-zenji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.