UKAWA, Mkicheka na Nyani Mtavuna Mabua,.!

UKAWA, Mkicheka na Nyani Mtavuna Mabua,.!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,982
Wakuu,

Zipo jitahada hivi sasa zinazondelea kupitia vyombo vya habari vya STARTV na CHANNEL 10, Vikialika WAPUUZI wanaojiita "Wachambuzi wa siasa", kwa lengo la kuchafua Wapinzani wa Uvundo wa Utawala wa CCM Nchini.

Naomba kuwakumbusha UKAWA,
"DONT UNDERESTIMATE THE POWER OF FOOLS IN THEIR MAJORITY"!

Hiki pia ni kipindi cha biashara kwa vyombo hivi vya habari. Vitafanya chochote kupata mavuno hata kama ni dhalimu!
Msisubiri Tume!

Chonde Chonde, Na ninyi anzisheni vipindi hivi, la sivyo "Mkicheka na nyani, Mtavuna mabua".
 
Badala ya UKAWA Nadhani ungeweka team Lowassa.!
 
Amini nakwambia,wachambuzi wa mambo ya siasa hawana impact kubwa katika matokeo ya uchaguzi,wengi wamekwishafahamika kuwa wamenunuliwa na wanawatumikia mafisiemu.Mifano ni mingi,Prof.Bana,Polepole,Mkinga!Wanapotoa hoja zao kila msikilizaji anakuwa ameamua maamuzi magumu ya mabadiliko!
 
NI kweli wananchi wengi walisha amua, lakini CCM watatumia dominance hiyo kuiba na hata kulazimisha matokeo. Wanahitajika wapingwe kwa hoja za nguvu sana.
 
Anophelesi

Unachokisema ni kweli kabsa. Tena hii Star TV ndo balaa kuna clip wanaweka ya ccm huku Mh Lowasa na Sumaye alivyokuwa ccm wakiongea.Hii nafikiri sio sawa kabsa.
Nafikiri Ukawa na wao waweke za kwao hata siku 2 tu.
 
MKUU umeongea jambo la maana sana. Tena hasa huyo anayejiita mdogomodogo sijui polepole anapaswa kukatwa ngebe sana. kama yeye ni mzalendo aje siku nyingine aongelee uchafu wa magufuli au mkapa tumwone mwanaume basi. vijana wa namna hii uzeeni huishia kuwa wachawi au waganga wa jadi.
 
Anophelesi

Unachokisema ni kweli kabsa. Tena hii Star TV ndo balaa kuna clip wanaweka ya ccm huku Mh Lowasa na Sumaye alivyokuwa ccm wakiongea.Hii nafikiri sio sawa kabsa.
Nafikiri Ukawa na wao waweke za kwao hata siku 2 tu.

Luna muda nilisema wanafiki itafika watarudia ngumi, leo unasema hivi kesho unasema vile...lazima uumbuliwe tu. Juzi mbatia kuongelea suala la uuzaji nyumba hakukumbuka suala hilo hilo lilitolewa ufafanuzi na sumaye wakati wa kuomba ridhaa ya kuteuliwa na ccm
 
Back
Top Bottom