UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba

UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,776
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.

Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.

Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.

Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
 
umejiandikisha lakini? sio blah blah nyingi humu
 
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.

Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.

Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.

Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
Duu! kama wana CCM wenyewe ndio hawa wanaonzisha uzi kama hizi kweli CCM ndo basi tena
 
Haina tofauti na wanafunzi, wakati wengine wanang'atwa na mbu kwa kujisomea usiku wengine wao wanalala au wanaenda kujirusha viwanja. Kasheshe ni unapokuja mtihani, wale waliokuwa wanasoma wanaenjoy kufanya mtihani lakini wale ambao waliamua kupumzika huwa ndo wakati wao wa mateso. Kama leo CCM walikuwa wanafurahia talents show, mtihani utafanyika 25 oktoba wanaoangalia show siku hiyo wataisoma namba mapema kabla jua halijazama Kigoma.
 
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.

Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.

Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.

Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.

Sijaelewa, ushupavu wa siasa unapatikana katika kwa kuangalia "Kinondoni Talent Show"?
Nani kakuambia kuwa Mbowe ana "pressure" (shinikizo la damu) wewe?.. Namna hii ndiyo huwa mnasutwa kwa umbea!
 
Wewe unafikiri kizunguzungu cha nini? Ilikuwa showoff tu?

Hiyo inakuonesha how organized Kikwete is, so cool so calm, highly composed and enjoying his last few days without worries as he has more than outdone all those presidents before him, in each and every task of governing the country.
 
Ficha ujinga wako, kama unadhani kuwa na 'kizunguzungu' ni kuwa na shinikizo kubwa la damu.

Please, review
1. Ahadi za Kikwete tangu wakati wa kampeni 2005 na 2010.
2. Orodhesha safari zake za nje na utambue gharama ya safari zote(almost safari 500)
3. Deni la Taifa na misaada(mikopo) nchi iliyoweza kupata .
4.Hali ya mwananchi na nchi kwa ujumla Kilimo, Afya, Utalii, Utawala, Uchumi bora n.k

Then compare kwa umakini na marais waliomtangulia! Kama ukiona bado amefanya kwa ubora kuliko waliomtangulia, Hamia jukwaa la JF Doctor kwa ushauri.
 
Wewe unafikiri kizunguzungu cha nini? Ilikuwa showoff tu?

Hiyo inakuonesha how organized Kikwete is, so cool so calm, highly composed and enjoying his last few days without worries as he has more than outdone all those presidents before him, in each and every task of governing the country.

kumbe CCM wanamsimamisha tena Kikwete mwaka huu,nilikuwa sijui!
 
Wanaodhani ccm ni chama cha mchezo watakiona cha mtema kuni ngoja wakati ufike.
 
kumbe CCM wanamsimamisha tena Kikwete mwaka huu,nilikuwa sijui!
Hata mimi nimeshangaa sana. Huu ni ushahidi kuwa mgombea wa CCM hafahamiki hata miongoni mwa wanaccm wenyewe na ndio maana hata gazeti la Uhuru halimuweki ukurasa wa mbele habari ni Lowassa tu
 
Lowasa ni msanii kishaawatisha Chadema hawajitambui
 
Duh Leo ndio nagundua kumbe hii ID ni ya mtu so jelly minded with an IQ of a millipede!! Pathetic indeed!

Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.

Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.

Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.

Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
 
Nilikua nimezimiss sana pumba zako m'beibez wangu FaizaFoxy. Sasa mkulu kutazama telent show kinondoni inawafanyaje mshinde uchaguzi, yaani ni sawa sawa na lidingi ambalo linaona mvua inanyesha tena ya mawe na paa linavuja badala ya kuangaika kuziba yeye yupo sitting anaangalia tom n jery.
 
Last edited by a moderator:
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.

Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.

Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.

Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.

Mheshimiwa Rais alianguka zaidi ya mara moja kipindi cha kampeni, ni uchu wa madaraka nao au yeye ulikuwa uchovu wa kibinadamu tu!:what::what:
 
Mwanza... Mwanzaaaaa..... Tuko mwanza tunampiga shetani.. Mwanzaaaa...mwanzaaa..raisi yoko mwanza, endeleeni kujipa moyo, najua huyu mama kachimbwa mkwara na Lumumba.. Kaulizwa mbona na kimya?? habari za KINONDONI talent zinahusiano gani na urais.. Hoja hakuna zaidi unatafuta dhahama na kejeli.
 
Back
Top Bottom