TUTU wa Jijia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 727
- 566
Wewe endelea kula panzi huko mtera na lusinde wako majiji yetu tuachieKila siku nimekuwa nikiona mh Zitto anavyotanabaisha ni jinsi gani atafanya halmashauri ya mji wa Kigoma kuwa ya mfano tofauti kabisa na wastahiki/lords Meya wa majiji yetu.
Wao naona hawana mipango yoyote zaidi ya kila kukicha kuja na operesheni ukchwara za UKUTA.
Dar es Salaam tatizo la maji jimbo la Ubungo na Kibamba ni sugu lakini sijaona mipango wanayofanya hawa waheshimiwa.
Wakumbusheni muda wa maendeleo ni sasa!!
Ww ni mbuzi kweli wao kigoma mbona wanamipango kabambe jambo iko kwenye karatasi..Huo ni ufinyu wa fikra msingi wa nchi ni mashina utakulaje matunda ya mti ambao mizizi yake haina rutuba.