Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Story za baa ndio unaleta humu?
kwani huko baa kuna wazimbabwe, so no haqahawa watanzania wapiga kura?
Story za baa ndio unaleta humu?
Kinachoniuma ni Mbowe kuua upinzani kwa kushirikana na Lowassa, Hii dhambi itamwandama maisha yake yote.!
Huyu mtu Magufuri hata nyumbani akubariki Duu nomaMimi nipo maeneo Geita na jana nilienda Chato yaani uko kila mtu ni Lowasa/UKAWA tu
Kigamboni wanasema Magufuli aende kwa kuogelea ndo watamsikiliza
Nimekupenda ghafla Bintiwangara wiki ijayo nakuja Rulenge hope nitakutafuta.Pale yenu mchana, wanakulaga Lunchi, kaka au yenu bar haupajui kaka. je na kwenye Basi la kwenda Mbezi JE? Tumia akiri kufikiri sawa- Au haujamuelwa ndiyomkuusana?
Mimi niko Ngara, kila Sehemo ni Lowasa, hivi huyu jamaa alikula nini?, mbona anapendwa Hivi?, Jamaa anatisha acha Tumpe nchi.
Karibu utanikutaNimekupenda ghafla Bintiwangara wiki ijayo nakuja Rulenge hope nitakutafuta.
Mimi nipo maeneo Geita na jana nilienda Chato yaani uko kila mtu ni Lowasa/UKAWA tu
Huku tarime kila kona ukipita ni lowasa hadi bendera za ukawa zinapepea kila sehem ndani ya mji wa tarime.
Kwikwikwi Waxee wa Ubaguzi ningeshangaa kama tathmini yenu isingekuwa ya aina hiyo.Leo baada ya kujiuzuru mweshimiwa Lipumba, Muungano wa katiba wa wananchi UKAWA, unaonekana Kuimalika Zaidi, na Wananchi wapenda mabadiliko wamekwisha jua kwamba . Muheshimiwa Mbowe, Muheshimiwa Self Sharifu Hamad, na Mbatia ndiyo Wapiganaji wa Kweli Ndani ya Ukawa , Na hawa wamehapa Mgombea Wao, Mh. EL kushinda Uchaguzi mkuu Kwa kishindo zaidi.
Hali imekuwa hivyo hata Mitahani, nilikuwa Ubungo. Maeneo ya Yenu Bar napata lunchi, Asilimia kubwa ya watu mule ndani Wote walikuwa wanawafagilia sana Ukawa kwamba lazima Mzee EDO achukue nchi. ni watu wawili tu ndiyo waliokuwa wanamponda EDO . nikapanda basi la Kwenda Mbezi, ni UKawa tu kushika Dola, na Wengine wakadiliki kusema Mwaka huu, CCM watatumia Mbinu zote, Lakini Ukawa Kupitia Muheshiwa EDO, lazima Ukawa washinde.
Kuna Mmoja kasema hata huko Kanda ya ziwa ambako Magufuri anategemea kura nyingi, Wengi wanamuunga Mkono Edo. kuanzia Bukoba, Runzewe, kahama, Shinyanga ,Mpaka Mwanza ni Ukawa kwa kwenda Mbele:
Mzee Mmoja,naye alikuwa amepanda gari kwenda Mbezi Mwisho. Akatoa makadilio ya Ushindi wa lowasa kulingana na Kanda.
Kanda ya ziwa Edo anaweza kushinda kwa 70%
kanda ya kati ,Dodoma,Singida, tabora kwa 81%.
kanda ya Kaskazini Arusha,kilimanjaro,Tanga ,Manyara 99%
kanda ya Pwani Pwani, Dar es salaam ....... 68%
Nyanda Za juu kusini Mbeya, Iringa, Songea 72%
Kusini Lindi na Mtwara............................73%
Naishia kusema LOWASA anatisha Lazima CCM watafutane.
Pale yenu mchana, wanakulaga Lunchi, kaka au yenu bar haupajui kaka. je na kwenye Basi la kwenda Mbezi JE? Tumia akiri kufikiri sawa- Au haujamuelwa ndiyomkuusana?
Leo baada ya kujiuzuru mweshimiwa Lipumba, Muungano wa katiba wa wananchi UKAWA, unaonekana Kuimalika Zaidi, na Wananchi wapenda mabadiliko wamekwisha jua kwamba . Muheshimiwa Mbowe, Muheshimiwa Self Sharifu Hamad, na Mbatia ndiyo Wapiganaji wa Kweli Ndani ya Ukawa , Na hawa wamehapa Mgombea Wao, Mh. EL kushinda Uchaguzi mkuu Kwa kishindo zaidi.