ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 668
- 426
Leo baada ya kujiuzuru mweshimiwa Lipumba, Muungano wa katiba wa wananchi UKAWA, unaonekana Kuimalika Zaidi, na Wananchi wapenda mabadiliko wamekwisha jua kwamba . Muheshimiwa Mbowe, Muheshimiwa Self Sharifu Hamad, na Mbatia ndiyo Wapiganaji wa Kweli Ndani ya Ukawa , Na hawa wamehapa Mgombea Wao, Mh. EL kushinda Uchaguzi mkuu Kwa kishindo zaidi.
Hali imekuwa hivyo hata Mitahani, nilikuwa Ubungo. Maeneo ya Yenu Bar napata lunchi, Asilimia kubwa ya watu mule ndani Wote walikuwa wanawafagilia sana Ukawa kwamba lazima Mzee EDO achukue nchi. ni watu wawili tu ndiyo waliokuwa wanamponda EDO . nikapanda basi la Kwenda Mbezi, ni UKawa tu kushika Dola, na Wengine wakadiliki kusema Mwaka huu, CCM watatumia Mbinu zote, Lakini Ukawa Kupitia Muheshiwa EDO, lazima Ukawa washinde.
Kuna Mmoja kasema hata huko Kanda ya ziwa ambako Magufuri anategemea kura nyingi, Wengi wanamuunga Mkono Edo. kuanzia Bukoba, Runzewe, kahama, Shinyanga ,Mpaka Mwanza ni Ukawa kwa kwenda Mbele:
Mzee Mmoja,naye alikuwa amepanda gari kwenda Mbezi Mwisho. Akatoa makadilio ya Ushindi wa lowasa kulingana na Kanda.
Kanda ya ziwa Edo anaweza kushinda kwa 70%
kanda ya kati ,Dodoma,Singida, tabora kwa 81%.
kanda ya Kaskazini Arusha,kilimanjaro,Tanga ,Manyara 99%
kanda ya Pwani Pwani, Dar es salaam ....... 68%
Nyanda Za juu kusini Mbeya, Iringa, Songea 72%
Kusini Lindi na Mtwara............................73%
Naishia kusema LOWASA anatisha Lazima CCM watafutane.