UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

Nashauri wakiite UKAWA baas..hiyo NCC itawachanganya raia
 
Wakiite hivyo hivyo UKAWA.
Hili jina limepenya Kabisa Mioyoni mwa wananchi
Jina lingebaki hivyo hivyo UKAWA ila kirefu chake kisiwe Umoja wa Katiba ya Wananchi badala yake wanaweza kutafuta jina lingine mfano: Umoja/Ushirikiano wa Kisiasa kwa Ajili ya Wananchi/Watanzania.
 
mkira,

mawazo mazuri, ni kweli hao watu hawalipwi, sijajua sababu, ila naweza kujaribu kutoa sababu. Maana haikuandikwa kwenye katiba sababu za kutowalipa.

Kwa kawaida katibu ndie mtendaji, anapaswa kulipwa, ndani ya chama chetu ccm ngazi ya chini ya katibu kuwepo ofisini saa zote za kazi ni kata. Kwahiyo katibu kata anakuwepo ofisini muda wote wa kazi. Baada ya hiyo ngazi kuna tawi (katibu wake halipwi) kisha kuna shina.
Utaona umeongelea chini sana na frequency ya mikutano sio mingi na hata kazi sio nyingi. Kwa maoni yangu hali iendelee hivihivi. Hela zipo ila utaratibu wa kukusanya toka vyanzo vya mapato na utumiaji ndio sio mzuri.

Ngoja nitajaribu kuongelea wazo lako kwenye vikao nisikie wengine wanasemaje!

Kidumu chama cha mapinduzi!

nld???????
 
Back
Top Bottom