UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC

sema unashauri wajiite hivyo sio watajiita hivyo pathetic
 
Kama ni kweli hili litkuwa pigo kwao hatuwezi anzisha chama na kuingia ikulu.Huu ndiyo ukweli na vingine ni ndoto.
 
I wish wasikiite kwa jina hilo...maana watakuwa wanalimit vyama vingine vitakavyo ondoa tongotongo kujiunga...

Hili nalo neno, alafu kuna vyama 4 kwenye Ukawa. Hivyo naanza kuwa na mashaka na uzi huu.
 
UKAWA NDIO MPANGO MZIMA! kuna mjukuu wangu huwa namwita UKAWA!
 

Nimekupatia ....unataka kwa kiswahili tena.. Haya..

KUSANYIKO LA WANACHAMA KWA AJILI YA KUOKOA TAIFA... sema jingine tena
 
ncc=national congress conversion

Sasa si urekebishe kwenye uzi wako kupunguza maswali.

Sasa hawa wenyeviti wa mitaa waliochaguliwa watasimama kwa vyama gani?

Ni habari njema lakini sidhani kama ni sahihi.
 
Whatever name whatever acronym they choose for the coalition but as long as it doesn't comprise or reflect the word "the People" or "Wananchi" it is a failure right from the start. What is NCC?

Hata kama msajili aligoma kwamba hakuna vyama vya katiba hivyo kulitupa neno UKAWA, wangeweza kubuni jina jingine zuri kwanza linalo-reflect the people na pia lenye ladha masikioni. By the way ni lazima liwe la kiingereza? Mbona Kiswahili kiko poa sana kwa mazingira yetu?
 
Pure lies, hivi unajua process ya kuanzisha chama kipya cha Siasa Tanznia, taking into consideration general election is next year October 2015.

Wewe utakuwa wakara wa shetani (read Lumumba Book 7 FC)

Matusi ya nn? Mm kada wa Chadema damu niombe radhi
 
ibaki UKAWA tu. chama cha kusimamia katiba y wananchi basi. hakuna litakalopindishwa bali katiba ya wananchi ndo alfa ba omega
 
hakuna cha chama kipya wala nn tulien dawa iwaingie tanganyika mtakutana na CHADEMA zenji ni CUF na NCCR ni twanga kote kote mpaka mkimbie nchi na tunataka tume huruuuuu nasio tume ya maccm kuimba mpaka tumechoka mtatuingiza kwenye machafuko lakin mwisho tutawakalisha viva UKAWA
 
Hiyo abbreviation mbona ya kichina
 
sisi tushazoea UKAWA mnataka muanze kutuchanganya tena
 

National Common Coalition _NCC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…