UKAWA kusambaratika Kesho

Hiyo Kesho haifiki?


Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu
 



Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!
 
Hiyo Kesho haifiki?
Kesho maana yake imminent ... yaani muda si mrefu ... ni lugha ya fasihi tu ndugu yangu,hata hivyo ijulikane kuwa si matamanio yangu bali hofu yangu....
 
kwa sababu tz ni ya wakristo

Ni ya dini zote na wasiokuwa na dini na serikali imetoa uhuru kila raia kuabudu anachoamini yeye sasa kwanini waislam munadeka sana? Hivi hamuezi kuabudu hadi iandikwe kwenye katiba, kwani katiba ni yawaislam pekee? Tanzania sote ni ndugu moja tofauti hizi zililetwa na wakoloni jitambue ndugu Shemeji yangu.
 
Kesho maana yake imminent ... yaani muda si mrefu ... ni lugha ya fasihi tu ndugu yangu,hata hivyo ijulikane kuwa si matamanio yangu bali hofu yangu....

Unaongea kinyume wewe, sema sentensi ilonyoka ya kuwa wasofiki waanza kusambaratika ktk Bunge la Kula-Dodoma.
 
...SWAFI SANA NAONA KILIO CHETU ALAH AMEKISIKIA;CCM, UDP NA 201 OYEEEEEEEEEEEE......!!
:coffee:
 

Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!

Yaaani Kiongozi MP Kalix kuna mijitu mi huwa naiitaga mijitu inakaa na kuiombea nchi yetu mabaya....Hawa watu wa namna hii ni makaburu tu
 
Last edited by a moderator:

Wengine bado tunasubiri leo siku ya Pili hivyo!

Yaaani Kiongozi Mp Kalix2; kuna mijitu mi huwa naiitaga mijitu inakaa na kuiombea nchi yetu mabaya....Hawa watu wa namna hii ni makaburu tu
 
Last edited by a moderator:

Wewe ndo mchochez wa dini, yan ccm inawatwist baadhi ya waislam like stones.....sasa hiv mnetajiwa mahakama ya kadhi bac mmelidhika na mchakato mzima wa katiba mpaka miskitini mshaanza kuipa shavu ccm.....juz juz to mlikwa mnaunga mkono serikali tatu, warioba mlimuona kama mtetez wenu, leo mmetajiwa kadhi mmehamia selikali 2 mambo mengi ya msingi saiv mshayasahau...CCM wakiweka mgombea mkristo 2015 mtaikimbia ccm mtaiona ni chama cha kanisa...........
 

We kweli mzimu....
 

Subirini mkifika kwa Allah wenu ndo muendelee na hizo ibada zenu.......lakini kwenye katiba ya wananchi wasiokuwa na mlengo wa itikadi za kidini sahau hilo
 
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Ushitakiwe na mahakama ya kadhi we muislamu?
 
Ushitakiwe na mahakama ya kadhi we muislamu?

Aahh okey!! Kumbe kama mahakama ni yawaislam tu kwanini hiyo mahakama iwepo kwenye katiba ambayo sio yawaislam? Hiyo mahakama iwekeni kwenye katiba ya BAKWATA na Wasuni.
 
Mimi nasema hakuna cha kadhi wala udin yaani hao ccm wanahaha kutafuta njia ya kutokea na hakuna njia wamechemka na wakubali wameshasambaratika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…