UKAWA kusambaratika Kesho

Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.

Wapagani tutabaki na mahakama ya nchi.
 

Acha uongo na jitoe ujinga. Soma Sheria ya Mahakimu Wakazi ndio urudi kurusha vumbi lako.

Sheria za kiislamu zinaruhusiwa na zinatumika kwenye mahakama za mwanzo za serikali za Tanganyika.

Kwa taarifa tu. Section 11 (1) (c) (ii) ya CHAPTER 354 ya sheria za Tanzania inasema "nothing in this subsection shall preclude any court from applying the rules of Islamic law in matters of marriage, divorce, guardianship, inheritance, wakf and similar matters in relation to members of a community which follows that law."

Kazi kwako.
 

binafsi sitamsahau BABA RIZ maishani mwangu kwa usanii aliotuletea. simlaumu yeye bali waliomchagua atuendeshee serikali ndio waliofanya makosa makubwa.
 
Ukawa majuha kweli.

Juha ni wewe unayeuza ng'ombe kushinda kesi ya kuku,ccm wanafanya political suicide na wamafanya self sacrificing politicies ambayo inakufanya uangukie kwa maadui!.
Tunasubiri
 
Katiba ya Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi, ili amua kwa makusudi kudharau maoni ya wa Waislamu walio wengi katika nchi hii Pamoja na Maoni ya Taasisi Zote za Kiisalamu juu ya Mahakama Ya Kadhi, na kuweka mawazo yao. Kinachotokea ni Laana kwa kazi waliyoifanya. Mambo yapo hadharani, kila mwenye kufikiria kwa akili yake mwenyewe anashuhudia.
 
Think tank ya ccm imevia kifkra kwa sababu hii ya kutafuta kuungwa mkono,unaingiza jambo ambalo linahitaji umakini mkubwa.hakuna jambo baya kuanzisha kitu kitakachogawa nchi vipande,nimeamini ccm si chama cha kisiasa,
 

Kweli wewe ni mzimu. Hizo sio fikra za binaadamu.
 
Mahakama ya kadhi ndo inaipatia ushindi CCM , maana waislam wote kwa CCM na CUF kwa CCM na wale wakristu amabao ni CCM watabaki kuuga msimamo wa chama maana kwao chama kwanza... akina mimi kule bush wao CCM tu baaas.. lablda Kilimanjaro , Mbeya na Rukwa otherwise mikoa kama Dar, Mtwra, Lindi, ZNZ, Tanga, Morogoro, Tabora, Mwanza, na mingine imekula kwenu.........
 
Jazba zimmepanda hata unachoongea hukijui.una umri gani?

Ninamiaka 99 na nawasiliana na makahaba waweke mahakama yao kwenye katiba. Pia majambazi waweke mahakama yao. Machinga waweke mahakama zao. Itakuwa poa sana kwakuwa waislamu wamezarau mahakama zilizopo basi ni bora kila kundi katika jamii yakitanzania wawe na mahakama yao ili kutetea mirathi na ndoa. Au waislamu pekee ndo wanahitaji haki ya mirathi na ndoa? Kwani jamii zingine hawaoani au hawafi nakuacha mirathi?
 


Ish!!! mimi huwa nakuona una hoja kumbe hakuna kitu,,,,, mahkama ya kadhi ni ibada,, hatuwezi kuhukumiwa na mahakama za kitwahut.... hasa katika maswala ya mirathi,, uislam ni dini yenye mfumo sahihi na ulio wazi,, ndo maana tuna banks zenye mfumo wa islamic banking.. na unafanya kazi vyema na hata huko kwa wakubwaa wenu wanaukubali:angry:
 
Ukawa majuha kweli.

nyie ndo majuha kwa kutumia kodi zetu bure na nikuambie hyo karata muda mrefu ilishaonekana kitakachotokea ni ukawa kuongozeka nguvu labda muwaongezee dau misukule yenu mliyoiweka dodoma
 
Ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu, pengine halionekani leo kwa walio wengi ila madhara yake Ni makubwa/mabaya sana hapo mbele/baadaye. Su vyema kuingiza maswala ya UDINI kwenye KATIBA, mahakama zilizopo zinatosha kutoa haki kwa WATANZANIA WOTE. Cha msingi Mahaka ziwe HURU pasi kuingiliwa na muhimili mwingine.
 
Kwani ibada wanafanya waislam tu? Mbona hata shetani anaibada zake. Hivi kila takataka ikiwekwa kwenye katiba itabebeka kweli. Kama mahakama yakadhi ni ibada si mujenge tu kama munavyojenga misikiti!!! au kujenga misikiti pia munaweka kwenye katiba. Hivi kuna mtu aliwazuia kujenga mahakama yakadhi. Serikali haijazuia tatizo lenu munataka hiyo mahakama ijengwe kwa pesa za walipa kodi ndo maana serikali inawatolea nje.
 

Unaota mchana na majicho yako umekodoa!! Hata hao walio bungeni kutawaka moto na ndo mwisho wa hilo bunge la CCM!!!
 
Safi jk, drshen, dr ghari, mbembe, jonimaleche, rasisi hili ndo tulikuwa tubalitaka. Kama muingereza anamkata shingo mmarekani huko irak kwa nini six asiharibu kwa vile anaona naye kakosa

Hivi na wewe una jiita great thinker?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…