..ni kweli, ingawa mahakama ya kadhi ni muhimu, lakini mshikamano wa taifa ni muhimu zaidi.CCM wanatafuta kutengwa na jumuiya ya kikristo tu hapa
na ccm manani?....Ukawa majuha kweli.
Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu
Ukawa majuha kweli.