UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,202
Reaction score
138,567
Wakuu wa UKAWA bungeni Dodoma kukutana hivi punde katika ukumbi wa Msekwa,pamoja na mambo mengine kukanusha vikali na kukemea propaganda chafu ya wana-ESCROW zinaenezwa kwamba wamefungua kesi mahakamani.Nitawajuza zaidi

tujuze mkuuu maana kuna mafala humu washanza kupakaza upuuzi huo
 
Wakuu wa UKAWA bungeni Dodoma kukutana hivi punde katika ukumbi wa Msekwa,pamoja na mambo mengine kukanusha vikali na kukemea propaganda chafu ya wana-ESCROW zinaenezwa kwamba wamefungua kesi mahakamani.Nitawajuza zaidi
Wakanushe pia uvumi kwamba Mbowe amedaka Tshs. 1.5 bn pesa za escrow kwa kuwa hili jambo linamchafua kamanda mbowe.
 
Hatutaki tamko la ukawa, tunataka tamko la mbowe kama alichukua au la!uvumi lina una mtuhumu mbowe jina la ukawa lilitumika tu but actually mlengwa alikuwa Mh. KUB. Ajitokeze hadharani kukubali au kukanusha
 
Jioni ya leo umeanzishwa uzi huu hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/763243-ukawa-watinga-mahakamani-kupinga-ripoti-ya-escrow-kujadiliwa-bungeni-15.html

Ukijaribu kututoa katika mapambano yanayoendelea dhidi ya wezi wa Escrow,

Marandu amethibitisha kuwa taarifa hizi ni za kizushi,Mbowe yupo njiani toka south Korea ili kuongeza nguvu kuhakikisha mjadala wa escrow unafanyika na Mungu akipenda kesho atakuwa bungeni.

Hakuna kesi ya IPTL iliyofunguliwa leo, jana ama juzi,

Kwakuwasaidia tu, nikuwa kila mtu na asimame ahesabiwa,

Hawa ni sehemu nyingine ya wanufaika wa escrow

Aliyeanzisha uzi huo wa uzushi apewe ban ya milele kwa kuleta uzushi katika jambo lenye umuhimu mkubwa kwa Watanzania.

Wakuu wa UKAWA bungeni Dodoma kukutana hivi punde katika ukumbi wa Msekwa,pamoja na mambo mengine kukanusha vikali na kukemea propaganda chafu ya wana-ESCROW zinaenezwa kwamba wamefungua kesi mahakamani.Nitawajuza zaidi
 
Ukawa wabaneni hao wezi mpaka wajue kama embe ntunda.
 
Mods Huyu Kilaza gsu Ni Wakupewa Ban.
 
Last edited by a moderator:
Wakanushe pia uvumi kwamba Mbowe amedaka Tshs. 1.5 bn pesa za escrow kwa kuwa hili jambo linamchafua kamanda mbowe.
Mlifungua uzi wa kizushi mods wakaufunga. Ila kaka/Dada, unajua hata ukiwashabikia akina chenge,msoto wa maisha hauchagui wewe ni wa chama gani. Gharama kubwa za umeme hazichagui ccm wa la ukawa. Tuwe pamoja kuwapinga hawa wezi tupate unafuu wa maisha
 
Kawadanganye misukule wenzako BAVICHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…