UKAWA kuitikisa Zanzibar leo

matangazo ya moja kwa moja yanapatikana vizuri kabisa, tunawashukuru sana ukawa kwa kutaka kila mtanzania popote alipo awasikie na tuko tayari kuwasikia
 
HOngera sana UKAWA;

Tunaipata LIVE kabisa Ustream
 
Twawasubili huku,Mungu awasaidie.Tuepukane na hawa wanaotutishia jeshi.
 
Matangazo yamekatika kwangu. ..Pls share an alternative way.
 
matangazo ya moja kwa moja yanapatikana vizuri kabisa, tunawashukuru sana ukawa kwa kutaka kila mtanzania popote alipo awasikie na tuko tayari kuwasikia

Sasa hayo matangazi yanapatikana wapi jamani?ebu nipeni maujanja
 
Mliopo huko znz tupieni updates hapa maana hakuna popote tunapoweza kupata matangazo hayo..
 
Naona B7 wamepata kigugumizi baada ya kuona mirija yao inaanza kusinyaa

Hwawezi kukanyaga hapa.....wame3pagawa wanapanga mkakati mwingine maana zile nyimbo za ukanda,udini zimechikwa.
 
saafii,ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…