UKAWA kugomea Kamati za Bunge

Watanzania sasa tupunguze UBINAFSI mimi nauona umeenea kwa kila mtu, watu hatuaminiani kabisaaaaa!

Asanteni
hivi unaanzaje kuwaamini wanaccm ? utakuwa na roho ngumu sana !
 
Wewe mtoa mada unaonekana umeandika tu kihisia ili upate popularity ya wanalumumba wenzio hapa jamvini. Ni hivii:

-Kwanza hujaweka exact source ya mada hii,lakini pia hujasema ni kwasababu zipi hao wabunge wazipinge nafasi hizo. Mtu mwenye weledi na utaalamu na zaidi uzoefu katika field flan anastahili aelekezwe huko huko ili ashuhulike vizuri ipasavyo kwa maslahi ya taifa.

Viongozi wa CCM wamewaplace wabunge wao ktk nafasi hizo kwa maslahi yao na hilo halina ubishi. Ukitaka kugundua hilo angalia maeneo ya utaalam na uzoefu wao then linganisha na nafasi walizopewa.
 
wabunge walienda bungeni kwa ajili ya kamati au kuwakilisha wananchi hizo sababu ni za kijinga kama kila mbunge anajiamini anastahili kuwa bungeni sioni sababu ya kugomea kamati anayopangwa
tatizo ukawa na uchache wao wanafikiri wanaweza kumburuza spika wataisoma namba hadi 2020
 
Ati nini? Waliweka mpira kwapani? Mbona juzi mbowe aliwashangaa wabunge wa CCM walipoweka mpira kwapani wakati wa uchaguzi wa Meya wa Kinondoni?
 
Kama wana fani zao watoke bungeni warudi kwenye fani zao....hivi Mnyika,Kubenea,lema na Profesa J wana fani gani?
 
Kama wana fani zao watoke bungeni warudi kwenye fani zao....hivi Mnyika,Kubenea,lema na Profesa J wana fani gani?
Prof J , Sugu fani zao usanii sijui kuna kamati ya hiyo
 
wanataka kamati za kutaka kupewa rushwa kwa vizingizio vya kuopoa eti uozo katika taasisi hizo
 
Nawaunga mkono wabunge wote wa UKAWA kwa hatua hiyo.

Haiwezekani kamati ya PAC kwa mfano spika amejaza wabunge wa CCM kibao.
Kama sio makusudi ni nini??

Wakati huo huo kamati ya kilimo, mifugo na uvuvi ndo amejaza wabunge wa upinzani.

Tatizo nini sasa hapo?
 
#Kule kwetu, nakupongeza kwa uchambuzi wako dhidi ya mleta mada kwenye comment yako na 23. Mwandishi hakuqeka source, hakuweka sababu kwa nn wasusie, hakuwahoji wala hakuhoji spika wala katibu. Habari haiandikwi vile, rudi shule ya msingi ujifunze kk!
 
Wabunge wa kawa wasingefanya hivyo tusinge chukua muda kufikiri zaidi! Wametutafakarisha zaidi kuhusu uteuzi huu.
 
.....wana hoja ya msingi spika anataka kuwapangia wenyeviti wa PAC na kamati ya serikali za mitaa
 
Nawaunga mkono wabunge wote wa UKAWA kwa hatua hiyo.

Haiwezekani kamati ya PAC kwa mfano spika amejaza wabunge wa CCM kibao.
Kama sio makusudi ni nini??

Wakati huo huo kamati ya kilimo, mifugo na uvuvi ndo amejaza wabunge wa upinzani.

Kwenye hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?

Kilimo na mifugo ndio uti wa mgongo wa taifa - kupitia wapinzani tunataka kuona mifugo, kilimo na uvuvi vinatutoa, kamati zingine majungu na unafiki tu.
 
Ndicho walichobakiza kugoma kugoma kugoma , itachukua muda mrefu sana wapinzani kuaminiwa na kupewa nchi. Wamekubuhu kwa Unafiki pumbavu sana[/QUOTE

U]
[QUOTE="bdo, post: 15154951, member: umenielewa.e hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?

Kilimo na mifugo ndio uti wa mgongo wa taifa - kupitia wapinzani tunataka kuona mifugo, kilimo na uvuvi vinatutoa, kamati zingine majungu na unafiki tu.[/QUOTE]

Kama unafahamu majukumu ya PAC,utakuwa umenielewa
 
Tatizo nini sasa hapo?

Majukumu ya PAC unayafahamu lakini?

Kwa namna wanavyokuwa na kuenenda wabunge wa CCM ni dhahiri kamati hii itakuwa butu na haitatimiza majukumu yake ipasavyo kama hawataweka ushabiki wao pembeni na kufanya kazi kwa maslahi ya Taifa
 
ku
K


Kama mlipanga kuwaburuza sasa mtakiona cha mtemakuni nyie ccccccccm, kama mlijipangia kivyenu na kuweka wadhaifu ili mambo yenu yasonge mbele kilaini huu si wakati wake. tunataka usawa na si vinginevyo. Bunge ni la wooote si lenu na marafiki zenu
kumbe kuna wabunge dhaifu upinzani tulikuwa hatujui. !! ni ajabu na kweli. sasa kwa nini wananchi waliwachagua? ? napendekeza wajiuzuru kama wanakubali wao ni dhaifu kwa hiyo ni mizigo
 
Hivi huko PAC sijui maliasili na utalii, nishati na madini kuna nini hadi kila mbunge atake kupangwa huko?
kuna ulaji mzee kwani hujui ? jamaa wanataka wapige hela mpaka kieleweke
 
Kwenye hio kamati ya PAC huwa inakuwa na wajumbe wangapi? Je akidi inakuwaje?

Kilimo na mifugo ndio uti wa mgongo wa taifa - kupitia wapinzani tunataka kuona mifugo, kilimo na uvuvi vinatutoa, kamati zingine majungu na unafiki tu.
Nimeipenda comment yako!
Kimsingi wapinzani hawana ubunifu, kamati kama hizi za kilimo, huduma za jamii ndizo walipaswa watu kuzigombania kwa maana mnakaa na kufikiri pamoja na serikali!
Haya ndiyo matatizo ya msingi ya watanzania, hapa ndipo maendeleo yanapolengwa, watanzania wanatamani kuona wanapata nafuu ktk maeneo haya lkn wabunge wanataka kuwepo ktk kamati moja tu! Yes usimamizi wa pesa za umma ni muhimu lkn ubunifu katika uzalishaji na kutatua matatizo ya msingi ya wananchi nalo lina umuhimu namba 1.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…