MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
At least this is a good move. Si maandamano.
We are all slaves untill every man is free, esp in tanganyika!Hii ni akili ndogo, unafiki au zezeta?, binadamu aliye huru kimawazo hawezi kutoa mchango kama huu!
tuwe wakweli " HAMNA KESI HAPO" labda kama mleta mada hajalipata vizuri shauri linalofunguliwa....mbona hii iko wazi katika sheria ya mabadiriko ya katiba
ukawa baada ya kunyimwa posho wanahangaika sana
Akili mgando.Unawaza posho tu! enhee niambie baada ya UKAWA kutoka nje hao mabwana zako wamefanya nini cha maana kitakachowafanya wakioneshe kwa wananchi.
ACHA KUWA MTUMWA WA FIKRA
Kifungu gani hicho kinasema "kuboresha?"
Mkuu tumia muda wako japo wa dakika 30 ukisikia Alfred Polepole anaongea sehemu tega sikio umsikilize
Jamaa analichambua jambo hilo tena kisheria kwasababu ni mwanasheria, Unaambiwa Bunge limepewa mamlaka ya KUBORESHA na si kubadiri maudhui au msingi wa Katiba ambao umejengwa katika muhimili wa serikali TATU.
Kwahiyo Bunge linaishia kujadiri vitu kama matharan vyanzo vya mapato ktk serikali ya MUUNGANO havitoshi wao wanaangalia waviongeze vipi. hii ndiyo maana ya kuboresha,
Ukipata muda msikilize ndugu Polepole aliokuwa Kamishna wa Tume nakuhakikishia hata kama utakuwa umebeba majini saba ya Intarehamwe yatakutoka mara hiyo.
BACK TANGANYIKA
ukawa baada ya kunyimwa posho wanahangaika sana
-Akili ndogo hizi ni aibu kweli kweli,Hawatafanikiwa na wanafahamu hawatafanikiwa!.
Bunge Maalum la Katiba lina kinga kisheria za kuzuia kuhojiwa na chombo chochote kuhusu lolote linalofanyika/lililofanyika ndani ya bunge.
Hawa wanatafuta sifa ambazo hazipo.
Lakini sio kuondoa msingi mkuu uliojenga rasimu nzima, ambayo ni muundo wa serikali..I'm afraid hoja hii haijakaa vizuri na nirahisi sana kujibiwa kisiasa. BMK linauwezo wa kuongeza ama kupunguza yaliyoko kwenye Rasimu kwa maslahi mapana ya nchi na wananchi wa Tanzania...
kwani kuboresha maana yake ni nini?
haya bana,wewe jipe moyo tu.Daaah! ndugu pole sana kama pamoja na kutoa ufafanuzi wote huo kuhusu hicho unacho uliza lakini wewe bado hujanielewa nampa pole sana mwalimu wako inaonekana alipata kazi ngumu sana kukufundisha hasa yule wa darasa la kwanza.
Mtu kama wewe akakufundishe a,e,I,o,u then ba,ma,ka,da,pa,nk halafu aje akufundishe kuunganisha maneno then kutunga sentesi hakika haikuwa kazi ndogo pole yake!!
BACK TANGANYIKA