Tetesi: UKAWA kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima katika majimbo walioshinda uchaguzi

kimpawwe

Senior Member
Aug 22, 2017
164
133
Amani iwe nanyi, tetesi nilizozipata hivi punde ni kwamba umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) unataraji kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuongea na wananchi. Naomba tusubiri kama ni kweli. Inaelezwa lengo la mikutano hiyo ni kudai katiba mpya na kuwashukuru watanzania kwa kuchagua wabunge wengi kutoka upinzania na kuvunja rekodi ya chaguzi za nyuma. Mungu ibariki tanzania
 
Magufuli alisema hajaribiwi
 
Maalim Seif atakuwa bench maana hana wabunge huku bara. Ukawa wameshakuwa wachovu, Dr Slaa ndiye mtu sahihi wengine wote wachumia tumbo.
 
Msiwasumbue wananchi
Waacheni wafanye kazi
Sidhani kama mikutano italeta usumbufu sawa na usumbufu wanaoupata wananchi wakati wa ziara za mkulu hasa pale wanapolazimishwa kuhudhuria mikutano yake. Wananchi wamekufa moyo, kazi wanafanya lakini hali inazidi kuwa mbaya na bado wanaambiwa uchumi unakuwa.
 
Safi sana, tena nibgekuwa naweza kutoa ushauri, ningesema wafanye mkutano mmoja mmoja kila jimbo kwa wakati wakez wasifanye wabunge wote / wengi kwa pamoja tunapenda kufuatilia hatua kwa hatua

Back
Top Bottom