WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
mimi ni polisi sijapiga watu siku nyingi jamani..... Fanyenj fasta tangu nitoke kozi sijakutana na maandamano nipo fiti kuwakabili
Naishi kota za
polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani
ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini
tena tukutane kwenye maandamano
ikiwa c.c.m walimdokta mvungi ambaye alipigania katiba bora kwa nchi yetu? Sembuse sisi wa madongo poromoka mtatuua hadi mchoke lakini damu yetu itasimama kama ishara ya ukombozi wa kweli wa ii.
Hata kota ukitoka tu tunakutoa macho mwaka huu tumeamua labda uishi kota miaka yote usitoke..
Naishi kota za polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini tena tukutane kwenye maandamano
Naishi kota za polisi .... sikai na raia na mdaa nakudunda nimevaa herement na miwani ya kuzuia machozi huwezi nijuaa ... naahidi kukuvunja kiuno hutazini tena tukutane kwenye maandamano
du aiseeeeee! mbavu sina
wewe itakuua njaa tu,polisi wa bongo mna dhiki kuu.Mimi polisi ... kifo ni kiapo changu ukinitoa macho nitakuwa sijatekeleza kiapo changu vema... niuee kabisaa ila mimi ahadi yangu ninkukuvunja kiuno kwenye maandamano ukiwa mbishi nakufyatulia ya motoo
wewe itakuua njaa tu,polisi wa bongo mna dhiki kuu.
kikubwa waandamane WABUNGE na FAMILIA ZAO.
short of that wajiandae kupelekwa the HAGUE
Yakija simiyu haya majuha lazima lazima tuyazomee na kiyadunda na mawe.