Elections 2015 UKAWA Kigoma waingia katika mgogoro

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Mgombea wa Chadema ashinikizwa kurudisha fomu na wanachama huku makubaliano yaliyotoka Ngazi ya Ukawa Taifa zikimtaka mgombea wa NCCR.

Hii imetokea katika majimbo matatu ikiwemo Kakonko na Kasulu.


Source:ITV
 
Hilo ni tatizo dogo intelijensia ya ukawa itashughulikia hilo suala kisha mambo yatakaa poa.
 
Wamesema ngazi za juu zitaamua ila wananchi wameshinikiza CDM wachukue fomu
 
Kwani we unaona wana akili mzuri hawa ugomvi ni sehemu ya maisha yao hivyo waende kwa kafulila kudumisha migogoro

Usiende migogoro kwani migogoro midogo yaweza kukia na kuwa mikubwa sio poa kabisa.
 
Back
Top Bottom