UKAWA; Iko wapi timu yenu ya Kampeni


ujinga wako ndio laaana yako.

ukawa hatuna ujinga kama huo wa matimu ya kijinga kijinga.

tunajiamini na tena tutashinda kwa kishindo.

hatuna timu za matusi na mipasho kama nyie mataahira wa lumumba
 
ujinga wako ndio laaana yako.

ukawa hatuna ujinga kama huo wa matimu ya kijinga kijinga.

tunajiamini na tena tutashinda kwa kishindo.

hatuna timu za matusi na mipasho kama nyie mataahira wa lumumba

Ujinga huu unaweza kukusaidia sana, fuatilia utagundua. Unakumbuka ule mpango wa kampeni za kanda kwa kanda uliosambazwa katika mitandao ya kijamii?
 
Usifanya mzaha, jipangeni mkuu.

Si lazima kuiga wanachofanya CCM. Wacha wao waunde timu UKAWA timu yao wapiga kura. Mnapenda kuiga wakati sio kitu kizuri. Ati mbona Lowassa anaongea dakika 12. Hao CCM wanaoongea masaa sita wameanza leo? Imetusaidia nini?
 
Hiyo picha wapo waliokuwa mwenyekiti na katibu wa ccm huko arusha waliohamia cdm. Unataka wakushirikishe mipango hiyo?

Hapana, nilikuwa namuonyesha mdau "mfano bora" wa wale wanaodhaniwa ndio magwiji wa kujipanga kikampeni
 
Hahahaha..nan alijua km tambwe hiza atapanda jukwaan jana!!!

Mbnu za ushind zinatofautiana we..nyie kaen na kna makongoro na kina lusinde sis tutawapiga nje ndan

Chama cha siasa makini hakitangazi team yake ya uchaguzi; hili ni dhahili hata huko nyuma ccm haikuwahi kutangaza team yake ya uchaguzi ni safari hii tu kwasababu wamepanick ndio maana wamewatangaza wakina Wassira kuwa ndio team yao ya ushindi!! Ukawa wana team yao kabambe ambayo hawana haja ya kuwatangazia wananchi wao wanangojea matokeo tu.
 
Kampeni za Lowasa zinafanywa na Magufuli kwani anapoteza muda kuhoji ilani ya UKAWA badala ya kuongelea yake. So Lowasa akifika yeye anamwaga sera zake huyo anahama. Timu ya watu 32 na kutaka midahalo sio sera ya chama. Sasa hebu fikiriia Sitta anataka mdahalo na Lowasa ni sawa na kupambanisha Simba (Lowasa) na swala (Sitta) si uonevu huo?
 

CCM imekuwa na timu za kampeni huzitangaza waziwazi...umewasahau akina Ulimwengu enzi za Mkapa, EL na Kinana enzi za JK? Timu ya UKAWA kama ipo chini kwa chini mimi hapo sina tatizo mkuu
 
Team ya ukawa ni wagombea wote wa ukawa katika maeneo yao sababu maeneo yao wao ndio maharufu, kuanzia mwenyekiti wa mtaa mpaka mbunge wanamnadi rais na sis wananchi tunawapa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…