UKAWA, hii vita ni kubwa

UKAWA, hii vita ni kubwa

Click Hapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
479
Reaction score
206
Wana JF,

Hata kama TV station hatakiwi kuingiliwa kwenye mipango ya either ni habari ipi irushwe na ipi isirushwe, ila kwa hili la Leo Channel Ten wamenishangaza sana.

TV station zinafunguliwa kwa ajiri ya watazamaji wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, ukabila, udini n.K
TV station inapoanza kubagua kuwa habari hii irushwe na hii isirushwe bila kujali habari hiyo ina interest gani kwa watazamaji nadhani hilo kinakuwa ni tatizo.

Hivi ni kweli kwamba yaliyokuwa yanaendelea mkoani mbeya pale ambapo mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndg. E. Lowasa alikuwa anatambulishwa rasmi Leo Jijini Mbeya, kwa Channel Ten hii kwao si habari ya kuirusha ili watazamaji waione ilivyo kuwa?

Au ndo tuseme na TV station hii sasa imekuwa na mrengo mwingine na imeingia kwenye siasa za nchi hii rasmi?

Kama hivyo ndivyo basi UKAWA wajipange maana hii vita ni kubwa.
 
Kipindi kile ilivyokuwa inatangaza safari ya matumaini mliitukana sana.

Chanel 10 wamejitambua hawataki safari hewa!
 
naamini taarifa itaonyeshwa kesho yawezejana imechelewa kutumwa kituoni lakini kama channel ten wamefanya hujuma basi vita ni kubwa japo tutashinda.
 
acha upuuz wenu hivi unajua na JPM yupo mikoan kusaka wadhamin na taarfa zake hazrushwi... achen ulimbuken sio kila siku lowasa lowasa na tutamkata tena. Mbona hamjawahi kuhoj kwa nn ITV hairushag taarfa za ZZK pamoja na kuwa watu hufurika? hii ndio tv ya ukanda na ukabila ishakua km TBC ya ccm.Fisad wakubwa
 
Wana JF,
Hata kama TV station hatakiwi kuingiliwa kwenye mipango ya either ni habari ipi irushwe na ipi isirushwe, ila kwa hili la Leo Channel Ten wamenishangaza sana.
TV station zinafunguliwa kwa ajiri ya watazamaji wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, ukabila, udini n.K
TV station inapoanza kubagua kuwa habari hii irushwe na hii isirushwe bila kujali habari hiyo ina interest gani kwa watazamaji nadhani hilo kinakuwa ni tatizo.
Hivi ni kweli kwamba yaliyokuwa yanaendelea mkoani mbeya pale ambapo mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndg. E. Lowasa alikuwa anatambulishwa rasmi Leo Jijini Mbeya, kwa Channel Ten hii kwao si habari ya kuirusha ili watazamaji waione ilivyo kuwa???
Au ndo tuseme na TV station hii sasa imekuwa na mrengo mwingine na imeingia kwenye siasa za nchi hii rasmi??
Kama hivyo ndivyo basi UKAWA wajipange maana hii vita ni kubwa.

Acha kulia lia kama hawaonyeshi habari unayotaka kuiona badilisha chaneli, unajua wanapata habari ngapi kwa siku?
 
Ukawa si mna Lowassa? ngoja tuwafungie kazi mtaisoma
 
Nadhani ni habari imechelewa labda maana hata clouds wameonyesha picha tu na sio video..
 
acha upuuz wenu hivi unajua na JPM yupo mikoan kusaka wadhamin na taarfa zake hazrushwi... achen ulimbuken sio kila siku lowasa lowasa na tutamkata tena. Mbona hamjawahi kuhoj kwa nn ITV hairushag taarfa za ZZK pamoja na kuwa watu hufurika? hii ndio tv ya ukanda na ukabila ishakua km TBC ya ccm.Fisad wakubwa

Mi nadhani ungejenga hoja tu mama kuliko kutokwa mapovu tafadhali!
 
Wana JF,
Hata kama TV station hatakiwi kuingiliwa kwenye mipango ya either ni habari ipi irushwe na ipi isirushwe, ila kwa hili la Leo Channel Ten wamenishangaza sana.
TV station zinafunguliwa kwa ajiri ya watazamaji wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa, ukabila, udini n.K
TV station inapoanza kubagua kuwa habari hii irushwe na hii isirushwe bila kujali habari hiyo ina interest gani kwa watazamaji nadhani hilo kinakuwa ni tatizo.
Hivi ni kweli kwamba yaliyokuwa yanaendelea mkoani mbeya pale ambapo mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndg. E. Lowasa alikuwa anatambulishwa rasmi Leo Jijini Mbeya, kwa Channel Ten hii kwao si habari ya kuirusha ili watazamaji waione ilivyo kuwa???
Au ndo tuseme na TV station hii sasa imekuwa na mrengo mwingine na imeingia kwenye siasa za nchi hii rasmi??
Kama hivyo ndivyo basi UKAWA wajipange maana hii vita ni kubwa.

Nadhani ungeanza na ITV kwanza maana ndio kampen manager wa ED
 
Kipindi kile ilivyokuwa inatangaza safari ya matumaini mliitukana sana.

Chanel 10 wamejitambua hawataki safari hewa!

ndo maana mnalishwa punda na wachina huko idododmya maana mingombe imezidi kuwa mingi
 
Msijari tulisha ona wasap mafuriko subirini ya mwanza welaaaaaaaaa ntawajuza ipasavyo
 
Mkuu tunatumia simu zetu kurusha Habari. Pamoja na kuwa watskuwa wakakata umeme ili tudicharge simu
 
ITV chombo makini....wamenifurahisha kwa habari ya leo...pipozzzzz
 
Nadhani ungeanza na ITV kwanza maana ndio kampen manager wa ED

Mkuu, Channel 10 taharifa ya habari yao huwa ni saa 1, ITV huwa ni saa 2 usiku, kwakuwa Channel 10 wamefanya yao nikasubiria ITV maana wao hawana huyana. Wamatiririka kama kawaida yao. Asante ITV, TV ya Taifa.
 
Acha kulia lia kama hawaonyeshi habari unayotaka kuiona badilisha chaneli, unajua wanapata habari ngapi kwa siku?

Mkuu, lilikuwa ni suala la muda tu, ITV wameshamaliza kiu ya watazamaji wengi, wametiririka kama kawaida. ITV ndo TV ya Taifa.
 
Back
Top Bottom