UKAWA hawawezi kujitegemea, wanaishi kwa ruzuku

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Bila ruzuku vyama vya UKAWA haviwezi kuishi vitakufa.Havina uwezo wa kujitegemea
 
mwasisi wa ruzuku ni ccm yenyewe baada ya wanachama kukiibiachama na chama kuwa katika hali mbaya,kama sikosei mwaka 1993 chama kilikuwa na hali mbaya sana ikafika mpaka chama kikashindwa kulipa wafanyakazi mishahara kwa zaidi ya miezi mitatu(ndo mwanzo wakufa gazeti la mzalendo)..chama kiliishi kwakukopa na kujichotea pesa hazina mpaka Mkapa alipo kuja kukinusuru kwa kuanzisha sera ya vyama kupokea ruzuku kwa vyama vyote vyenye ushiriki bungeni
 
Bila ruzuku vyama vya UKAWA haviwezi kuishi vitakufa.Havina uwezo wa kujitegemea
hivi huoni hata aibu kupost pumba hizi? magufuli anatuambia ''we're suppossed to be a donor country'' pale bungeni ili na hao mabalozi wa kigeni wasikie. leo hii mnakataa misaada ya MCC mnaenda kutembeza bakuli kwa wahisani huko Japan na China pamoja na kuwa mnanyenzo zote za kukusanya kodi. halafu uko bize kuwatukana UKAWA wasiokusanya kodi hata sentu 5 ya mtanzania?
kwa hiyo unataka kutuambia CCM wanaweza kujiendesha bila ruzuku?
hivi na wewe ni miongoni mwa wale vijana 50 wa mtandao kutoka CCM Kikwete alioutangazia umma pale uwanja wa Namfua?
kwa hakika kuwa na watu wa jamii yenu ni hasara kwenye taifa.
 
Back
Top Bottom