UKAWA hawaamini kinachotokea

CHADEMA ndio wavurugaji wakuu wa Katiba, hawana nia njema na mchakato huu!

Wanaitumia UKAWA kufanya mambo yao baada ya mbinu zao za awali za kufanya nchi kutotawalika kushindikana!

Nawashauri CUF na NCCR warudi bungeni na kuwaacha hawa mamangi wa CHADEMA wakiendelea kuweweseka, ni dhahiri wamezidiwa nguvu kisiasa ndio maana wakaamua kujipendekeza kwenu ili muwabebe. NCCR na CUF waacheni wahuni wa CHADEMA wafe kivyao!
 

Asante sn mkuu kwa ufafanuzi wako mzuri.
Kuna tawala nyingi sn Duniani ambazo hazikuamini kuwa zinapingwa,na zilisubiri mpaka ziangushwe kwa fedheha na umwagaji damu.
 
Daladala ya katiba ishaondoka na kuacha ukawa kituoni. Msione aibu kukimbilia kurukia japo mmefunga tai.
 

tunko ulivyo mzembe wa kufikiri unajua katiba ni ya ukawa na ccm, wote tuliotoa maoni kwenye rasim na kuyaona kwenye rasim tulifurah ila baada ya kufutwa tunalaani vikali ila sio mambo ya uccm na ukawa achen ushabiki,hili ni jambo muhimu sana
 
Si amini kama hivi vijembe ni vya vijana.ujinga mzigo bado mmejikita kwenye iman kuwa katiba ni kwa ajili ya ukawa na ccm,mbona wasomi wetu wengi walishatueleza sana kwenye mijadala ya katiba.mtakufa maskin kwasabab ya ushabiki usio na maana.mtaanza kusema warioba yupo ukawa kwasabab rasim yake imeungwa mkono na ukawa.uvivu wa kufikir ndo maana hoja zetu zinaanza na hitimisho
 

Hiyo mbinu yako ya divide and rule ni old fashion. Piga msasa ubongo wako; inaonekana una kutu.
 

Ungempa ushauri huu mamako
 
ikija kwa wananchi tutapiga kura za hapana
 

Waka jadili katiba ipi?
 

Kwani ukawa wapo kwa hisani ya cc ya ccm.
 
Waka jadili katiba ipi?
UKAWA
UMOJA WA KASKAZINI
ninawashangaa sana
kwani ni lazima wao wajadili wakiwa nje ya Bunge?
huwezi jadili vijiweni ukaiendesha Nchi
km wametoka wanyamaze basi, ili Mchakato uendelee kwaniRasimu inabeba itu vingi
Na Nchi itaendelea bila hata ya kutawaliwa na ndoto za UKAWA
 
ikija kwa wananchi tutapiga kura za hapana

umeshndwa k 2010 utaweza hili! watanzania ni waongeaji kwny utekelezaji ziro!! kwa kukudhbitishia hlo wewe mwenyewe hukupiga kura 2010!!
 
uzalendo haupo katika nchi hii, kuna siku wananchi wataamka, kuidai nchi yao. I believe there is a day
 

Warudi bungeni kufanya nini wakati uwezo wa kutengeneza katiba mnao? Mnao wawakilishi wote mpaka kutoka Pemba na akidi yenu imetimia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…