UKAWA haina ajenda ya kukemea rushwa tena

UKAWA haina ajenda ya kukemea rushwa tena

Wanaanzaje kukemea rushwa wakati wao ndio amebeba watu wenyen kashfa za rushwa?
 
Wapo watanzania ambao wao wenyewe, wanahubiri mabadiliko bila ya kujua ni mabadiliko gani wanataka, halafu wanamshabikia mtu waliyemuita mwizi, teh teh teh mimi sipo huko
 
Na MwanaJamii

02:41

Kama magufuli ni muadilifu Lowassa sio muadilifu

Kama magufuli anakemea wala rushwa lowasa hakemei wala rushwa

Unaposema bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi kuliko msafi mmoja katika kundi la wachafu usisahau kukumbuka kuwa huyo msafi au mchafu yupo katika nafasi gani na uwezo wake na maamuzi yake na mipaka yake na matarajio yake na uwezo wake

HOJA NI KWAMBA

Mchafu mmoja anachafua kundi lote kwasababu yeye ndio kiongozi top na mfano wa kuigwa na kutokana na uchafu wake hawezi kuwanyooshea vidole wachafu wenzake NA msafi mmoja anaweza kusafisha kundi lote kwakuwa yeye Ana mamlaka na uwezo huo

Nafasi inayotafutwa ni ya Urais ambaye ndie amiri jeshi mkuu na mwenye uwezo na mamlaka ya kufagia nyumba sasa umeona wapi mchafu aanze kuwasafisha wenzake wakati yeye ni mchafu

TAFAKARI CHUKUA HATUA

MAGUFULI NI muadilifu kuliko lowasa

#TunzaKichinjioChakoSubiri25OktobaUchinjeLowasa

Watawekaje ajenda ya rushwa wakati wao ndo wamekaribisha wara rushwa
 
Wanaanzaje kukemea rushwa wakati wao ndio amebeba watu wenyen kashfa za rushwa?

Swala si ahadi tumeahidiwa miaka 53 na hakuna kinachotekelezeka kwa mfano Maisha bora kwa kila Mtanzania mpaka sasa wananchi wengi wanaokota makopa na kula Unga.
Katiba yetu ilipigwa teke na Samia Suluu sasa kweli anaweza kubadili katiba?
 
Unajua unafahamu alichokifanya na alichosema Lowassa kama Maoni yake katika katiba mpya na alivyoshinikiza Tume itupilie mbali suala la kupunguziwa madaraka RAISI
 
Huwezi kuokoa kwa Jirani wakati kwako kunaungua Fisadi hawezi kumkemea Fisadi
Hatuwezi kuishi kwa maneno!....Mwl alisema ..mtu AKITHIBITIKA MAHAKAMANI kwamba kala rushwa.......hatuwezi kuwa nchi ya tuhuma za kimbea tuuuu....dola mnayo kwanini msimshataki huyo mnayemuita fisadi?....tutaishi kwa propaganda mpaka lini?
...na uadilifu wa magufuli uko wapi hasa?...ripoti za cag na ile ripoti ya juzijuzi hapa ilisema nini kuhusu wizara yake ya ujenzi?
What we want is KATIBA YA WANANCHI iliyoweka misingi ya uadilifu,na kuunda taassisi imara za kupambana na rushwa ambazo hazimsubiri Lowassa au Magufuli aziambie 'mchunguzeni au mchukulieni hatua yule au huyu'
 
Unajua lichokifanya na alichosema Lowassa kama Maoni yake katika katiba mpya na alivyoshinikiza Tume itupilie mbali suala la kupunguziwa madaraka RAISI
Why should that matter?...its history already..ni kama kusema mnafahamu Lowassa alikuwa CCM?...hiyo haitusaidii na haina mashiko kwa watu wanaofikiri kwa kutumia ubongo!...what matters ni anachosimamia kwa sasa....KUREJESHWA KWA KATIBA MPYA ile ya wananchi na sio hiyo ya CCM bcoz hayupo ccm tena kwa sasa!
 
Swala si ahadi tumeahidiwa miaka 53 na hakuna kinachotekelezeka kwa mfano Maisha bora kwa kila Mtanzania mpaka sasa wananchi wengi wanaokota makopa na kula Unga.
Katiba yetu ilipigwa teke na Samia Suluu sasa kweli anaweza kubadili katiba?

Katiba unayoitakamwewe nhi ipi, ile ya kumpa mtu elfu kumi kila siku ama mwisho wa mwezi?
 
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao.
 
Back
Top Bottom