UKAWA haina ajenda ya kukemea rushwa tena

UKAWA haina ajenda ya kukemea rushwa tena

Unachoshindwa kujua ni kua tunaenda kuunda serikali ccm hairudi tena madarakani trust me na serikali yetu hitakua na wala rushwa na tutafanya kazi kwa ajili ya wananchi
 
watanzania tuna shida sana. uzi kama huu unaonesha
1. Tunapenda maneno matupu. maana ccm wanakemea rushwa lakini mgombea mwenza alionekana akitoa hela. ccm inanunua wapinzani kwagharama kubwa.
2.Mwarubaini wa rushwa ni katiba mpya inayozaa taasisi ya kupambana na rushwa yenye meno, polisi na vyombo vya usalama vyenye meno la sivyo ni uasanii tu na ujinga ujinga na kwa hakika watanzania mkichagua tena ccm pamoja na majanga yote waliyosababisha itakua ni ajabu la kumi la dunia.

Na wewe unajiita dkt

Maana viroba vmekula uwezo wako wote wa kufikiri

Kutoa msaada n rushwa?

Akili fupi sana
 
MAGUFULI SIO MUADILIFU msije kujidanganya bure,na ukumbuke UFISADI NI MFUMO SIO MTU.

Tangu mbowe amekukaririsha mfumo
Ndo kakupumbaza kabisa maana hata hujui maana yake

Magufuli n mzalendo
Muadilifu
mchapakazi
Na
Hajinyei hovyo
kama yule mzee wa kimeru alielikana kabila lake na kujiita mmasai
 
Na MwanaJamii

02:41

Kama magufuli ni muadilifu Lowassa sio muadilifu

Kama magufuli anakemea wala rushwa lowasa hakemei wala rushwa

Unaposema bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi kuliko msafi mmoja katika kundi la wachafu usisahau kukumbuka kuwa huyo msafi au mchafu yupo katika nafasi gani na uwezo wake na maamuzi yake na mipaka yake na matarajio yake na uwezo wake

HOJA NI KWAMBA

Mchafu mmoja anachafua kundi lote kwasababu yeye ndio kiongozi top na mfano wa kuigwa na kutokana na uchafu wake hawezi kuwanyooshea vidole wachafu wenzake NA msafi mmoja anaweza kusafisha kundi lote kwakuwa yeye Ana mamlaka na uwezo huo

Nafasi inayotafutwa ni ya Urais ambaye ndie amiri jeshi mkuu na mwenye uwezo na mamlaka ya kufagia nyumba sasa umeona wapi mchafu aanze kuwasafisha wenzake wakati yeye ni mchafu

TAFAKARI CHUKUA HATUA

MAGUFULI NI muadilifu kuliko lowasa

#TunzaKichinjioChakoSubiri25OktobaUchinjeLowasa

Lowasa hadi kampen zmekaribia kuisha hajakemèa ufisad hata sehem moja!!!!!

Siwez kupoteza nguvu kupigia kura zee jambaz kama lowasa.
 
CCM haina ajenda ya katiba mpya yenye maoni ya wananchi.

Wew kwel kuku mgen

Hio katiba iliyopendekezwa ina maon ya nan?
Unajua maana ya maon ya wananchi?

Wale wabunge waliokuwa wanapitisha katiba walikuwa wanawakilish wakina nan?

Wale majiz ya ukawa waliyokimbià kuwakilisha wananchi wao katika tukio mhimu kama la upatikanaji wa katiba walikuwa wanawakilisha wakina nan?

Hivi kwann ukiwa ukawa mnakuwa na akili ndogo kama piliton?
 
Unachoshindwa kujua ni kua tunaenda kuunda serikali ccm hairudi tena madarakani trust me na serikali yetu hitakua na wala rushwa na tutafanya kazi kwa ajili ya wananchi

Kwanza unaota
Ccm haitok na haina sabab ya kutoka madarakan

Huyo mla rushwa na mpiga dili aitwae lowasa akatafute kisiwa huko ndio atawale

Ikulu sio iču
na la sio pango la walanguz
 
First things firsr, first thing kuiondoa CCM
 
Yaani CCM ni wapumbavu sana...

Rushwa na ufisadi mfanye wenyewe halafu mkae kando kusubiria wapinzani wawakemee...
 
Na MwanaJamii

02:41

Kama magufuli ni muadilifu Lowassa sio muadilifu

Kama magufuli anakemea wala rushwa lowasa hakemei wala rushwa

Unaposema bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi kuliko msafi mmoja katika kundi la wachafu usisahau kukumbuka kuwa huyo msafi au mchafu yupo katika nafasi gani na uwezo wake na maamuzi yake na mipaka yake na matarajio yake na uwezo wake

HOJA NI KWAMBA

Mchafu mmoja anachafua kundi lote kwasababu yeye ndio kiongozi top na mfano wa kuigwa na kutokana na uchafu wake hawezi kuwanyooshea vidole wachafu wenzake NA msafi mmoja anaweza kusafisha kundi lote kwakuwa yeye Ana mamlaka na uwezo huo

Nafasi inayotafutwa ni ya Urais ambaye ndie amiri jeshi mkuu na mwenye uwezo na mamlaka ya kufagia nyumba sasa umeona wapi mchafu aanze kuwasafisha wenzake wakati yeye ni mchafu

TAFAKARI CHUKUA HATUA

MAGUFULI NI muadilifu kuliko lowasa

#TunzaKichinjioChakoSubiri25OktobaUchinjeLowasa

Chadema ya sasa sio ya kupiga makelele ya kukemea mafisadi. Tulisha fanya hivyo nyie mafisadi papa mkasema kelele za chura hivyo kwa sasa tutafanya kwa vitendo tu. Watz hawataki kusikia makelele ya ufisadi bali wanataka kusikia mafisadi wamefilisiwa n kufungwa. Subiri tuchukue nchi uone
 
Yaani CCM ni wapumbavu sana...

Rushwa na ufisadi mfanye wenyewe halafu mkae kando kusubiria wapinzani wawakemee...

Yan hawa misukule bana.... hawajui tumebadilisha mbinu .tulipiga makelele tukagundua maskio yao yamekufa ila sasa tumekuja na mbinu ya kimatendo na kimkakati zaidi. Ngoja tumuapishe lowassa ndo watahama nchi hawa mafisadi papa wote.
 
Na wewe unajiita dkt

Maana viroba vmekula uwezo wako wote wa kufikiri

Kutoa msaada n rushwa?

Akili fupi sana
Sio najiita we kilaza. Ni dr kama unabisha nije nikufanyie DRE.
kilaza wewe msaada unatolewa kwenye kampeni.!
 
Mnajiandaa kukabidhi nchi lakini? Ninaona bado mnavuta shuka wakati kumekucha!.

Ccm wangelikuwa na agenda ya rushwa wasingeihalalisha na kuwa nguzo kuu ya chama na serikali.

Ni majuha wa ccm pekee wanaweza kukosa haya hata kusema eti ccm ina agenda ya rushwa wakati ndio walioikuza na kuwafikisha hapa walipo.

Wakati rushwa inastawi na kukua na nyinyi kuendelea kuikumbatia hadi kuwa ndiyo msingi wa utu kwenye chama na serikali yenu mlikuwa katika hali ya kuwanga, na sasa mmerudi katika mwili?

Ccm acheni upumbavu, mtuachie nchi yetu tuijenge upya.

Rushwa haipiganwi kwa maneno wakati mnai practice hadi hapa mtandaoni kila kinachoandikwa kinyume na ccm kinafutwa ajli ya rushwa.

Ondoeni wendawazimu wenu. Kabidhini nchi kwa amani, upumbvu wowote hatutaukubali. Eti agenda ya rushwa!. Ccm pumbavu kweli kweli.

Ni sawa na jumuia ya wachawi kutoa tamko kupinga mauaji ya albino. Hayo ndio maajabu ya ccm kutamka hadharani eti wanapinga rushwa
 
Na MwanaJamii

02:41

Kama magufuli ni muadilifu Lowassa sio muadilifu

Kama magufuli anakemea wala rushwa lowasa hakemei wala rushwa

Unaposema bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi kuliko msafi mmoja katika kundi la wachafu usisahau kukumbuka kuwa huyo msafi au mchafu yupo katika nafasi gani na uwezo wake na maamuzi yake na mipaka yake na matarajio yake na uwezo wake

HOJA NI KWAMBA

Mchafu mmoja anachafua kundi lote kwasababu yeye ndio kiongozi top na mfano wa kuigwa na kutokana na uchafu wake hawezi kuwanyooshea vidole wachafu wenzake NA msafi mmoja anaweza kusafisha kundi lote kwakuwa yeye Ana mamlaka na uwezo huo

Nafasi inayotafutwa ni ya Urais ambaye ndie amiri jeshi mkuu na mwenye uwezo na mamlaka ya kufagia nyumba sasa umeona wapi mchafu aanze kuwasafisha wenzake wakati yeye ni mchafu

TAFAKARI CHUKUA HATUA

MAGUFULI NI muadilifu kuliko lowasa

#TunzaKichinjioChakoSubiri25OktobaUchinjeLowasa
Hivi kusimvelea watu namalori kwenye kampeni sio rushwa?kama mgombea unafanya kampeni kwakushawishi watu kwarushwa ukichaguliwa utaweza pambana na rushwa?
 
Lowasa hadi kampen zmekaribia kuisha hajakemèa ufisad hata sehem moja!!!!!

Siwez kupoteza nguvu kupigia kura zee jambaz kama lowasa.

kukemea maana yake nini....tunataka katiba mpya kuna waliokemea mpaka mungu kawachukuwa rushwa inazidi kukua ndani ya uongizi huu wa fisiem
 
Kama unasema mfumo lazima ufahamu mfumo huanzia juu mpaka chini sasa juu yupo nani na nafasi yake ni nini na nguvu yake ya maamuzi ni ipi ni raisi mfumo upi ni bora katika uadilifu wa lowasa au magufuli rejelea mfumo huanzia juu ss juu Kuna mtu mchafu obvious ataafect hadi chini juzi tu utajiri wa mtoto wa lowasa unakuwa questioned uingereza unatisha tunataka muadilifu kingine nani aliezungumzia kuanzishwa kwa mahakama za mafisadi mbona lowasa hawezi kusema hayoo

Na wasisahau samaki mmoja akioza wote wameoza
 
Na MwanaJamii

02:41

Kama magufuli ni muadilifu Lowassa sio muadilifu

Kama magufuli anakemea wala rushwa lowasa hakemei wala rushwa

Unaposema bora mchafu mmoja katika kundi la wasafi kuliko msafi mmoja katika kundi la wachafu usisahau kukumbuka kuwa huyo msafi au mchafu yupo katika nafasi gani na uwezo wake na maamuzi yake na mipaka yake na matarajio yake na uwezo wake

HOJA NI KWAMBA

Mchafu mmoja anachafua kundi lote kwasababu yeye ndio kiongozi top na mfano wa kuigwa na kutokana na uchafu wake hawezi kuwanyooshea vidole wachafu wenzake NA msafi mmoja anaweza kusafisha kundi lote kwakuwa yeye Ana mamlaka na uwezo huo

Nafasi inayotafutwa ni ya Urais ambaye ndie amiri jeshi mkuu na mwenye uwezo na mamlaka ya kufagia nyumba sasa umeona wapi mchafu aanze kuwasafisha wenzake wakati yeye ni mchafu

TAFAKARI CHUKUA HATUA

MAGUFULI NI muadilifu kuliko lowasa

#TunzaKichinjioChakoSubiri25OktobaUchinjeLowasa

unajua duniani watu tumegawanyika,kuna mnaoona kwa umbali usiozidi urefu wa pua zenu,na kuna tunaoona mbali kwa umbali wa kilomita 1000.
Kwa wenye kuangalia karibu watamchagua Magufuli simply because ni msafi na anaweza kupambana na ufisadi,sawa anaweza lkn atapambana na wangapi?maana karibu mfumo mzima umeoza na hao wanaoitwa sijui mafisadi au wabadhilifu ni matokeo tu ya huo mfumo,kwahiyo Magufuli atachukua muda wake mwingi kupambana na matokeo.
Kwa tunaoangalia mbali tutamchagua Lowassa,kwasababu Lowassa atakwenda kusimamia ilani ya UKAWA na katiba mpya ya wananchi ni mojawapo ya ajenda zilizomo ktk ilani hiyo.Katiba ya wananchi ni tiba sahihi ya tatizo la rushwa na ufisadi nchini,ni katiba ambayo walafi wa CCM walipambana kufa na kupona kuizuia kule bungeni kisha wakaja na katiba ya Chenge na Sitta yenye mrengo wa kulinda uozo uliopo, na ndiyo katiba ambayo Magufuli ataisimamia mpaka ikamilike.Katiba mpya ya wananchi itafungua mapambano ya kudumu dhidi ya rushwa na ufisadi,Dr Magufuli anawakilisha mapambano ya muda mfupi dhidi ufisadi.
 
Back
Top Bottom