ukawa: Dua la kuku.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,902
Dua la kuku; halimpati Mwewe.

UKAWA; wanasubiri sana Magufuli ashindwe, hilo ni dua la kuku maana nia yake njema kwa wananchi imepokelewa kwa mikono miwili na aliyoyaahidi yanatekelezeka na yameshaanza kutekelezeka.

UKAWA: wanasubiri sana serikali ya Magufuli ianguke kwa aibu, hilo ni dua la kuku maana mikakati ipo dhabiti na asilimia ni kubwa kwa yote kufanyika kwa wakati na kwa weledi wa hali ya juu.

UKAWA: wanasubiri waliopata teuzi waharibu, hilo ni dua la kuku kwa maana sera za ccm zinatekelezeka na wateuzi wote ni watu makini na wenye uwezo wa kuhakikisha kua sera na mikakati iliyopo inatekelezwa.

ukawa wamebakia tu kusubiri, wataendelea kusubiri.
 
Kwani upinzani unapopinga jambo na serikali ikarekebisha wanufaika Ni wanasiasa au kila mtanzania?, mfano ukawa walipinga waziwazi kodi ya laini ya simu mufaika alikuwa mpinzani au watanzania wote?
 
Kwani upinzani unapopinga jambo na serikali ikarekebisha wanufaika Ni wanasiasa au kila mtanzania?, mfano ukawa walipinga waziwazi kodi ya laini ya simu mufaika alikuwa mpinzani au watanzania wote?
 
Wew bwana ungekuwa jiran yangu nngekukodia watu waje kufunza adabu na akili ikae sawa...watu maisha magumu mtaani wew unasema anania nzuri na hii nchi
 
Back
Top Bottom