Ukawa bila act ni ubatili

Ukawa bila act ni ubatili

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,878
Kwawenye. kusoma. malengo ya ukawa utajua kunamapungufu mengi

Kamampenda ich mabadiliko nawezasema. bila. Act. kuungana. basi.ukawaq aijakamilika
 
Kwawenye. kusoma. malengo ya ukawa utajua kunamapungufu mengi

Kamampenda ich mabadiliko nawezasema. bila. Act. kuungana. basi.ukawaq aijakamilika

Kati ya Act na Ukawa nini kilianza?
 
Vyotenivvyama
 
Usituchoshe....kuna vyama vingi Tanzania...ACT waunde umoja wao na hivyo vyama....yaan mtoto amezaliwa jana anataka afanye mapenzi na wakubwa????????????
 
hatuwezi kuungana na tuliowafukuza
 
Mimi Nashangaa Kwamba Wendawazim Wanazidi Kuongezeka Kwenye Hili Jukwaa, Miwatu Haijui Hata Maana Ya Ukawa Inabwabwaja Tu, Hii Nchi Sijuia Nani Katuloga!
 
Kwawenye. kusoma. malengo ya ukawa utajua kunamapungufu mengi

Kamampenda ich mabadiliko nawezasema. bila. Act. kuungana. basi.ukawaq aijakamilika

Tulia wakati unaandika unaharaka ya wapi au ndio div 5
 
Mtoa mada wa leo ni kiboko kwenye kipengele cha uandishi.
 
Mimi Nashangaa Kwamba Wendawazim Wanazidi Kuongezeka Kwenye Hili Jukwaa, Miwatu Haijui Hata Maana Ya Ukawa Inabwabwaja Tu, Hii Nchi Sijuia Nani Katuloga!

Mkuu wengne wanaztumia vbaya posho zao za lumumba
 
Usituchoshe....kuna vyama vingi Tanzania...ACT waunde umoja wao na hivyo vyama....yaan mtoto amezaliwa jana anataka afanye mapenzi na wakubwa????????????

Ha ha ha ha.. Yaani mfano uliouweka wanaufahamu lakini kwa kuwa wamepigwa na upofu na tamaa hawawezi kuuelewa..
 
nafasi iko wazi kabisa. kama kuna wakati wapinzani wamepewa kuchukua nchi hii ni sasa lakini Kama umakini usipo chukuliwa chama tawala kitapita hata bila compaign. kama ACT wataingia madarakani wakiwa na ukawa. naona kama hawatachukua hata miezi sita kabla serikali haijaparaganyika (maoni yangu).

UKAWA wamalize vikao vyao, Tunahitaji muda wa kutosha kusikia tanzania wanayotaka kutupa. Binafsi ACT bado haijapimwa na kuona kama ina nia ya dhati au ni mkono wa kuume wa chama tawala kulegeza upinzani. sina uhakika
 
Mwili nidhaifurihoiradhi
 
Act ni kimtaa gani hako.au ka mnyama gani hako .tu dadavulie hatujui act ni kitu gani hicho.
 
ACT???? Never ever!!!!!

Unajua nini? ACT kupata wabunge mwaka huu itakuwa ngumu sana! wakibahatisha sana labda Zitto. Sasa wanataka lift kwenye basi la Ukawa ili wapaishwe. Hebeu pambaneni wenyewe kwanza tuone uzalendo wenu. Leo mnatukana ukawa huku mnajiona kwamba mnanguvu sana. Haman hadhi ya kuja ukawa kwa sasa. Hebu jisimamieni wenyewe kwanza tuone kweli kama mna nia ya kumwondoa CCM au mna mission nyingine. CUF, NCCR na Chadema wote wameonesha wana lengo moja linalofanana na wameweza kuwa consistent katika lengo hilo kwa muda mrefu. Hebu na nyie jijengeni kwanza muoneshe consistency katika kupambana na CCM halafu tutawafikiria 2020!
 
Back
Top Bottom