Lowassa yuko mikononi lakini sasa ni Nape Nauye, tutaangalia mwenye impact kubwa zaidi ili kumaliza kabisa huu mzizi wa fitina uliodumu madarakani kwa karne 1 moja sasa. Nape aliwahi kusema Ukawa ilibeba makapi kumchukua Edward Lowassa nadhan sasa Makapi + Nape = Nape..
Natazamia mabadiliko makubwa uchaguzi unaokuja sasa ni mwaka 1 tokea umalizike uchaguzi lakini hata mtoto mdogo anaweza kutathmini matokeo ya uchaguzi unaokuja kwa Tanganyika.
Bado na tutashuhudia mengi njia sasa ni nyeupe.
Nawasilisha.