Ukatili wa wanawake

Ukatili wa wanawake

Joined
Jul 7, 2019
Posts
21
Reaction score
25
Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafunga ndoa kimyakimya na jamaa mwingine.

Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
 
Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafungua ndoa kimyakimya na jamaa mwingine.

Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
msomeshe mpenzi wako huku ukijiweka tayari kwa lolote.

wakati wake wa matumizi umeisha.
 
Huo sio ukatili tunatafuta pesa kwa ajili yao wale wavae wapendeze wangae hayo wanayo yafanya ni kawaida
 
Angejiua tu mbwiga huyo,,,, amemsomesha au alimsomesha at his own risk
 
Pole Yake.
Ila mbona kila siku wenzenu wanawaambia humu kuwa mchumba hasomeshwi..
Ukiamua kumsaidia mtu,msaidie tu kwa sababu umeamua kumsaidia,do not expect anything in return..atakulipa Mungu

Kabisa yaani hupaswi kabisa somesha mchumba wa demu...wee gegeda tuu muenjoy basi.
 
Wahuni waseme mara ngapi kuwa MCHUMBA HASOMESHWI

Apambane tu, hayo aliyataka
 
Pole Yake.
Ila mbona kila siku wenzenu wanawaambia humu kuwa mchumba hasomeshwi..
Ukiamua kumsaidia mtu,msaidie tu kwa sababu umeamua kumsaidia,do not expect anything in return..atakulipa Mungu
na kuepusha yote haya ni bora ukatae tokea mapema maana mtu anapofanya kumsomesha mtu its because of love na huwezi vumilia hat kidogo kusema dont expect on return from some body who you just dump your feeling, money ,love its not like that sisi sio wanyama ni binadamu
 
Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafungua ndoa kimyakimya na jamaa mwingine.

Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
kwanza yeye kama yeye keshajifunzana hatokuja kurudia tena pili watu kama hawa wapo ili na sisi pia tujifunze
 
Back
Top Bottom