Nilikuwa mwanachama wa bima ya matumaini katika SHIRIKA LA BIMA YA TAIFA(NIC) tawi la MWANZA kwa kuchangia michango yangu kwa miaka9. Bima yangu iliiva tangu mwezi Machi 30,20013 lakini hadi leo hii zijalipwa bali danadana kutoka kwa wafanyakazi wa hapa Mwanza. Nimewasilisha malalamiko yangu haya kwa mkurungezi wa taifa kwa njia ya email lakini bado kimya. Naomba waziri husika uingilie kati ili niweze kulipwa haki yangu hii. Pia wadau naomba michango yenu.
Chanzo: Mimi mwenyewe muathirika wa ukatili huo.
Chanzo: Mimi mwenyewe muathirika wa ukatili huo.