Ukatili, uuaji, uonevu na ubabe

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,436
4,646
Wana jf nawaomba tuamue kwa haki.
Ni chama gani kinashabikia hayo mambo hapa nchini Tz, na pia ni chama gani kinayapinga hayo?

NB: katika kucomment tusiingize uchama bali moyo wako unene.
IMG-20200504-WA0014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote hayo chanzo ni malezi,mtu alielelewa katika malezi bora na maadili mazuri,maadiri ya kutambua utu,maadili ya unyenyekevu ,maadili ya kumcha Mungu,kuogopa Mungu na kujua ipo siku Mungu alieumba mbingu na ardhi atakuja kuniuliza haya ninayo yafanya,Hawezi kuwa katiri,mbabe,mwenye roho mbaya,majivuno,kiburi na kujiona yeye ndo wa kwanza na wa mwisho kuumbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwake unaona suluhisho pekee la kukosewa ni kumpoteza aliyekukosea.
Mtu akikupinga :- "aozee jela huyo"
Wakati mwinhine story tu za kijiweni eti mtu anapotezwa.
mtu anatetea haki we unambamiza ,unamuumiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajulikana wauaji ni suala la muda tu watajikuta selo. Walitaka hata kujitoa kwenye mahakama ya kimataifa Arusha.
 
Back
Top Bottom