Ukatili dhidi ya binadamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatili dhidi ya binadamu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by malkiory, Mar 3, 2011.

 1. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (International court of criminal- ICC, the Hagu, Netherlands) bwana Luis Moreno-Ocampo, amesema kiongozi wa Libya Gaddafi pamoja na viongozi kadhaa waandamizi, watachunguzwa kwa kosa la mashambulizi ya watu waliokuwa wakiandamana kwa njia ya amani. Swali langu hapa ni je hii mahakama ilishindwa nini kumchunguza rais Kikwete wa Tanzania ambaye serikali yake ilihusika moja kwa moja na mauaji ya watu waliokuwa wakiandamana kwa njia ya amani pale Arusha. Je hii mahakama haikuwa na habari na yaliyojiri?au pengine mahakama hii inafanya kazi kwa maslahi yake binafsi na upendeleo? Sipati jibu hapa!
   
 2. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tutaripoti yaliyotokea Arusha pia..kwani ushahidi wote upo
   
Loading...