TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Mchakato wa kumsaka mrithi wa kiti cha Katibu Mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), unaelekea kukogawa chama hicho, RAI limegundua.
Kwa jinsi mwenendo wa kuhakikisha mrithi sahihi wa Dr. Wilbroad Slaa anapatikana kumekuwa na makundi mawili makubwa yanayokinzana juu ya nani anastahili kushika nafasi hiyo.
Kundi moja linaloongozwa na baadhi ya vigogo wa chama hicho, linamtaka naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Salim Mwalimu ambaye sasa anakaomu nafasi hiyo.
Upamde wa pili unaongozwa na baadhi ya Wabunge na wajumbe wanaoshiriki kwenye vikao vya maamuzi wao hitaji lao ni Waziri Mkuu wa Zamani, Fredrick Sumaye.
Kikao cha Jumamosi jijini mwanza ndicho kitakachotegua kitendawili hicho.
Source: Rai nguvu ya hoja.