Ukanda wa pwani tulichagua mapenzi

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
1,092
Reaction score
1,702
Ninaishi Masasi mkoa wa Mtwara!

Kuna wimbi la watu kutoka mikoa mbalimbali yaani ile iliyo nje ya ukanda wa pwani kuja Mtwara kibiashara, au kwa majukumu ya kazi za serikali!

Hawa watu wananishangaza kwelikweli, kwani hawaishi kutusagia kunguni watu wa Masasi eti tumewekeza kwenye ngono kwa kiwango Cha juu!

Yawezekana Ni kweli!

Mapenzi Ni furaha yetu, na si Masasi tu bali ukanda wote wa pwani yaani mikoa yote ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na huko Zenji!

Hapa niwakumbushe Jambo lililo muhimu kuwa mapenzi huleta ustawi wa jamii!

Hekima, ustaarabu, amani, upendo na umoja vyote huimarika ktk jamii ya watu wenye kuthamini mapenzi!

Ukatili wa jinsia, watoto, vikongwe na albino havijatamalaki ukanda wa pwani, si kwa bahati mbaya!

Enyi watu mlio nje na ukanda wetu wa pwani, acheni kutudharau sisi tuliyoamua kuyafanya mapenzi kuwa burudani ya maisha yetu!

Mapenzi Ni sabuni ya roho!

Njoni mujifunze mapenzi muweze kuishi maisha mapya ya kiustarabu, na kiungwana!
Mapenzi yatawasafishia na kuwaondolea roho za ukatili na ubinafsi!
 
Mapenzi Ni furaha yetu, na si Masasi tu bali ukanda wote wa pwani yaani mikoa yote ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga na huko Zenji!
Nipo Tanga hapa ila ni wa kuja. Sasa kama nyie mmechagua mapenzi, kwanini mnawawekea vikwazo vya kichawi waliochagua maendeleo ya kiuchumi?!
Ukatili wa jinsia, watoto, vikongwe na albino havijatamalaki ukanda wa pwani, si kwa bahati mbaya!
Ukanda wa pwani unaongoza kwa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na ndoa za utotoni
 
Nipo pamoja nawe mapenzi ndio kila kitu. Achana nao hawa wanaojidai hawataki mapenzi. Hamna lolote la maana wanafanikisha kazi kupokea vizuri vya wadhungu tuu.
 
Nipo Tanga hapa ila ni wa kuja. Sasa kama nyie mmechagua mapenzi, kwanini mnawawekea vikwazo vya kichawi waliochagua maendeleo ya kiuchumi?!

Ukanda wa pwani unaongoza kwa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na ndoa za utotoni
Uchawi Ni Imani isiyowezekana kuthibitishwa, na asili ya Imani ya uchawi Ni kaskazini!
 
Nipo Tanga hapa ila ni wa kuja. Sasa kama nyie mmechagua mapenzi, kwanini mnawawekea vikwazo vya kichawi waliochagua maendeleo ya kiuchumi?!

Ukanda wa pwani unaongoza kwa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na ndoa za utotoni
Sheria ya ndoa Ni miaka 15 kwa binti, na ikumbukwe binti anavunja ungo akiwa na miaka 12, tayari kwa kupandwa! Hapo Ni wewe tu yakhe kumla taratibu mtoto mchanga!

Hio dhana ya ukatili wa mapenzi imeletwa na mzungu!
 
Miaka 15 hajamaliza hata form four hivyo ni kumnyima haki yake ya elimu
 
Nipo Tanga hapa ila ni wa kuja. Sasa kama nyie mmechagua mapenzi, kwanini mnawawekea vikwazo vya kichawi waliochagua maendeleo ya kiuchumi?!

Ukanda wa pwani unaongoza kwa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na ndoa za utotoni
Ukanda wa pwani hatukeketi mabinti,
Na inaonesha haujui maana ya ukatili ni Nini!
Mwisho utasema hata tohara ya wanaume, kutoboa masikio, tattoo, kung'oa jino, kutoboa pua Ni ukatili
 
Unazungumzia mapenzi haya haya yakuombana hela

Tukiwa kwa bed

Au ya is just a friend yaani tuwe ndugu jamaa na marafiki
 
Hapa tanga wanakeketa sana
 
Unazungumzia mapenzi haya haya yakuombana hela

Tukiwa kwa bed

Au ya is just a friend yaani tuwe ndugu jamaa na marafiki
Pesa unayoombwa haiondoi ule utamu wa mapenzi pale bed!
 
Sawa ngoja tuzisake pesa tuendelee kula na kuwazalisha dadazenu hakika wanajua kuitumikia panapo 6x6.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na shule zenu ndio zinaongoza kwa kupata maziro.
 
Tofauti ya Mtwara na Lindi ni kwamba kule kuna marijali haswa si kama Zanzibar, Tanga, na Dar kulikojaa mashoga wanaoshindana kukata mauno na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…