Mkuu Kagame amebadili Katiba ili aendelee kuwa kiongozi......anafuata nyayo za Mugabe na Museveni.....huoni kama ni indicator za dictatorship?
Mkuu mimi huy Bwana Mkubwa namkubali. Ila kuna vitu ambavyo wakati mwingine anavifanya ndivyo sivyo. Kama hili la kuzuia demokrasia na mengine yanayofanana na hayo. Nilianza kuwa na mashaka, siku nimesikia kauli yake akiwahutubia Makamanda wa polisi, wapelelezi na Mawaili wafawid. Alipo waambia polisi wasitishwe na mtu awe mwanasiasa au nani. Nikajua tunako enda njia inaweza ikakosekana tusijue tunaelekea wapi.
Yes indeed.....same indicators....i wouldnt argue about thatMbowe naye ni dikteta? If my memory serves me well, naye alibadili katiba ya chama. Je ni indicator ile ile? Na hata hivyo hiyo sio pretext ya ku kwepa call kutoka Rwanda if any.
Kawa zigo zito.zito sasa kawa zigo
Yes indeed.....same indicators....i wouldnt argue about that
mshirikina humjua mshirikina mwenzie. hapo juu umesema unamfaham ,ni nani kwako sijui failures kwann huwa wanawachukia successful people. We ni nani wakujilinganisha na zitto, we jadili hoja acha kujadl watu ,utakonda . Walimwengu wanamalimwengu.Zitto ni mshirikina tu wana weredi kama unavyofikiri weee,
Now I can see you are using Rwanda to threat him indirectly kiufupi ccm mnahanya balaa hamna uhakika na matokeo ya hii vitaLook! the fellow has insulted presedent Kagame, Ok! let me cut it short, what if Rwanda would request for prosecution. Is this fellow will cry baby for Magufuli protection or would face the music in Rwanda? I pose.
Bila shaka wewe hujui hata maana ya neno siasa! Ni siasa ipi chafu inayofanywa na Zitto????Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Now I can see you are using Rwanda to threat him indirectly kiufupi ccm mnahanya balaa hamna uhakika na matokeo ya hii vita
Siasa ni nini, kutukana marais wa nchi jirani na nchi yako?Bila shaka wewe hujui hata maana ya neno siasa! Ni siasa ipi chafu inayofanywa na Zitto????
Ramadhani ndo nani? nielimishe plz.
Turudi kwenye maada, sisi tunaotoka kijijini tunafahamu namna gani ambapo wewe unapopata kikazi mjini na kuwasaidia kule kijijini wale unaowasaidia baadhi yao huamini kabisa wewe ni kigogo unaweza fanya lolote. Inafikia wakati wanaamini kabisa na wanakutumia vijana uwatafutie kazi wizarani, polisi ama hata ofsi ya Rais.
Hicho ndo kinatoa taswira kwa Zitto ya kwamba kuna watu kwa namna moja ama nyingine anawaamini sana ya kwamba wana nguvu kuliko Rais na serikali. Cha kumkumbusha tu Zitto ni kwamba Rais wa nchi za Afrika ana nguvu sana kuzidi mara kumi elfu mtu yoyote ktk nchi husika. Hapa namaana ya sitting president.
Namshauri tena Zitto arudi kwenye drawing table, anze siasa safi. Uwezo wa kufanya siasa safi na kupata umaarufu kupitia siasa safi anao.
Scietific proof plz. Si mnataka Demokrasia na utawala wa sheria basi aka prove kwa court ya Rwanda kwamba Kagame ni dikteta. Kama Kagame aki m call kwa court je ataenda ku proove ama atalilia protection ya Magufuli?
Mbowe naye ni dikteta? If my memory serves me well, naye alibadili katiba ya chama. Je ni indicator ile ile? Na hata hivyo hiyo sio pretext ya ku kwepa call kutoka Rwanda if any.
Hoja hapa ni kwamba kwa sasa Watanzania wanajua ukweli na wana ushahidiZitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta
Brain ya Shetani ni kubwa kuliko hata ya ZittoZitto atawasumbua sana, kiufupi brain ya Zitto ni kubwa mno! ukubwa wa akili za KB92 hutafananisha na GB kadhaa, the guys is too logical, he knows issues, na Jamaa anamjua kuwa ni threat, njama zoteee hizi ni kumfanya awe weak ila kwa mlango mwingine ndo mnampa kick kubwa kinyume na matarajio yenu.
mlishawahi kukaa na kujiuliza ni nini ambacho amehoji kinyume na taratibu na ni wapi ameongea jambo ambalo hali make sense? mwacheni aseme provide havunji katiba yoyote wala sheria za nchi. Zitto is my role model! thats it!
dua la kuku hilo. demokrasia mnayoihubiri nyie wenyewe hamuiwezi ndo maana unataka simu yangu izimwe ili nisichangie!! nyie ndo madikteta na zito zigo lenukuanzia 16/06/2016 kimchina chako kitakapounguzwa na TACRA hutaweza tena kupost pumba hizi
Mwana asiesikia LA mkuu ....yetu macho ,walikuwepo wa aina yake .