JokaKuu
..Nakubaliana na wewe Raisi alimsifia Zitto na sifa sio kitu constant. sifa ni variable
.. swali umajuaje Raisi ndo anatuma askari, kwani kuzuiwa kufanya mikutano imeanza kipindi hiki tu?
.. Kwanini unaamini hawajiamini kwa vigezo vipi, nafikiri serikali inayojiamini inazuia wanasiasa kufanya siasa za fujo kama wanazotaka kufanya wanasiasa ktk awamu ya tano. Hakuna nchi yoyote inayoruhusu vitu hivyo.
.. Huwezi waruhusu wabwabwaje wakati unataka mikutano yao ilindwe na polisi. Wakati polisi ni resources adimu. Inatakiwa kuwe na hoja wakati na kipindi cha kupiga siasa.
..Duh!!
..siasa zipi za fujo?
..wapinzani wamemfanyia nani fujo?
..au ni wapi umesikia wapinzani wakihamasisha fujo au uvunjifu wa sheria?
..to the contrary Raisi ndiyo mwenye siasa za fujo. Kwa mfano anapowahasisha polisi wachomoe matairi ya magari yanayopita kinyume cha sheria kwenye barabara za mabasi ya mwendo kasi.
..Zaidi, sioni Zitto amefanya kosa gani ktk mkutano wake kiasi kwamba polisi wamhoji.
we mkamap hapa bongo bana, hivo viingereza labda utranslate huoni hata wachangiaji wamesepa? wapi mmawia na mussa allan? hawaelewi enter na exit wapi. hahaahaGermany's Angela Merkel accused of 'kowtowing' to Turkey
- Angela Merkel has authorised criminal proceedings against German comic
- Citing freedom of speech, Jan Boehmermann had insulted Turkey's leader
- He read out a so-called 'Defamatory Poem' about Recep Tayyip Erdogan
- It sparked a request for prosecution from Turkey which has been accepted
Read more: Germany's Angela Merkel accused of 'kowtowing' to Turkey
- Merkel is now accused of pandering to Erdogan's autocratic government
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Nyie ndio mnaomnyima uenyekiti dikteta???We ni ACT nini?
Mkuu JokaKuu,
Ukomavu wa kisiasa pale mtu anapokuwa jukwaani au kwenye mihadhara ni pamoja uchaguzi wa maneno ya kutumia katika hotuba zake.
Mheshimiwa Zitto sina uhakika kama ana "hard copy" ya anachokizungumza majukwaani na hasa yake
aliyoyasema pale Mbagala, maana wenzie anaoongozana nao wanafanya hivyo.
Atumie walau muda kupitia hotuba au maoni yake kwani yamejaa jazba na maneno ya kashfa.
Hata kama amesema raisi JPM alikwenda Rwanda kwa Kagame kujifunza kubinya demokrasia, lakini nina uhakika wa 100% angesema maneno yake kule Kigali leo hii angekuwa kizuizini.
Hivyo ukimya wa raisi JPM haumaanishi kwamba watu watumie maneno ya kashfa kwa kiongozi wa nchi alie madarakani.
..siwezi kuiweka kauli hiyo ktk kashfa.
..pia tusijilinganishe na worst cases za demokrasia kama rwanda.
..huyu Raisi siyo mkimya. Hata yeye amekuwa akitoa kauli mbaya dhidi ya wapinzani.
..sas
Pengine wanaotakiwa kuacha kujiingiza kwenye siasa ni jeshi la polisi. Wafanye kazi kwa weledi...siasa wawaachie wanasiasa!
Which scientific method ar u going to use to test this alternative hypothesis?Zitto atakuwa anatumika. Na wanaomtumia ni watu wanaomwaminisha serikali haiwezi mfanya chochote maana wao Wana nguvu ya kuizuia serikali.
Zitto anaaminishwa kama vile Lowasa alivyowaaminisha kwamba anakuja nawafuasi wa CCM. Walimuahidi lakini baadae wakamwacha na wafuasi kiduchu.
Ndiyo hivyo inavyoweza tokea kwa Zitto, wanakuaminisha ila baadae watakuacha usote pekee yako. Zitto, tumia akili acha kutumika badala yake fanya siasa safi. Utakuja juta