Ukaguzi wa vyeti ufanyike ATCL na TTCL

Ukaguzi wa vyeti ufanyike ATCL na TTCL

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,892
Reaction score
2,803
Kutokana na report ya AG ya kuwa katika kampuni hizi mbili kuna vihio naomba ukaguzi Wa VYETI feki ufanyike haraka.
 
Ufanyike na TAA pia
Yaani mkuu kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nako kuna magumashi? Kweli Serikali yetu hii ni balaa kwa kuwa mamlaka husika hazifanyi kazi yao ya vetting vizuri hasa katika kuajiri eneo nyeti kama hili la TAA na kwingineko.
 
Ujinga mtupu huku kuchambua chambua kila siku habari ndiyo hiyohiyo kwanini wasifukuze wafanyakazi wote waanze upya kuajiri
 
Wakuu nashauri hata sisi tusio WATUMISHI WA UMMA tukaguliwe vyeti vyetu,isije ikawa majina yetu yanatumiwa na vihiyo serikalini Mimi nina mashaka sana na tatizo hili la vyeti feki
 
hakuna taasisi yoyote ya umma itayopitwa na zoezi hili
 
Sasa kama ATCL kuna wenye vyeti feki ni hatari kwa kuhudumia ndege zitakazo nunuliwa na serikali. Chonde chonde maoni ya mleta mada yasipuuzwe inawezekana anajua kilichopo ndani ya kampuni. Fanyeni ukaguzi kabla ndege hazija fika.
 
Back
Top Bottom