kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Hii kitu sijui kama Serikali wanaona au Maana nimekuwa ni kufikiria nini sababu ya vita hivi huku apande wa sud Kivu ya nchi yetu pamoja na nord Kivu.
Mkono wa Rwanda unaweza ukausika kufanya maovu Kongo lakini na amini anashirikiana na wakongo wenzetu kuvuruga amani ya nchi yetu kwakuingiza ukabila.
Just imagine nchi imejaa ukabila lini tutapata amani hata tukifukuza wageni wote ndani ya nchi yetu kama hatujamaliza ukabila hatuwezi kupata amani kamwe tutazidi kupigana sisi kwa sisi usiku na mchana
Kuliko serekali waje watangaze upando kwa wananchi na wao wanakuja kusapoti ujinga kwa kupambana na mtu mmoja kuwa asiye kuwa mkongomani wa baba na mama huyo ni adui wa nchi yetu
Hivi serekali hawajui kuwa kuna wakongo ambao wameoa warundi, watanzania, wakenya na makabila mengine kwa hiyo kwa mantiki hiyo wakizaa watoto, watoto wao wataishi kama watumwa ndani ya nchi yao binafsi kisa mama au baba yao ametoka katika taifa ambalo sio la Kongo
Tuache ukabila tutafute kufanye jitaada za kuunganisha wananchi wote kwa pamoja na kuweka sheria kali kwa yeyote atakaye toa maneno ya ubaguzi kwa watu wengine