UK to send Nuclear Submarine, Commandos to the Gulf

Tunatabia ya kufanya generalisation kwenye kila mgogoro duniani without looking at the pretext individually.

Libya technically aikuvamiwa tayari kulikuwa na kundi la waasi ndani be it dhaifu. Walichofanya mabeberu ni kujenga kesi UN kwamba Ghaddafi anatumia silaha za sumu etc with human right violation kukandamiza haki; katika kutimiza agenda yao.

Walichofanya wao ni kusema watatoa support tu ya vifaa vya kuongeza nguvu waweze kabiliana na jitihada za serikari pamoja kuwasaidia kwenye air strikes. Lakini involvement yao ilikuwa ndogo sana.

Iran mpaka lately hakukuwa na sababu maalum ya kujenga hoja za kumvamia mpaka alipoamua kuishika hiyo meli, kinachomsaidia wazee wa fitna wamebadili serikari na kuna agenda nyingine za kitaifa na swala la Brexit ni muhimu zaidi zikiwa zimebakia less than 100 days. Na hoja za waziri mkuu azieleweki kabisa washaanza kumwita all sorts of names na wengine kutaka kuona general elections haraka, yeye mwenyewe ataki record yakuwa waziri mkuu aliekaa madarakani kwa muda mfupi.

This might actually save Iran maana serikari mpya inabidi ionyeshe ina authority kwenye agenda zake; Iran will remain pending.
 
Inaonekana Iran ime-survive since 1979 sababu UK likua bize ikihangaika na BREXIT na mambo ya kuunda serikali mpya hahah.

 
Si noilisikia Iran sio mwarabu yule ni persia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…