UK MPs pass motion to recognize Palestine as a state

UK MPs pass motion to recognize Palestine as a state

Maswala

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
560
Reaction score
226
parliament-vote-palestine-recognition.si.jpg
A pro-Palestine supporter wears a Palestinian and Union flag outside the Houses of Parliament in London October 13, 2014.

The British parliament voted in favor of a symbolic move to recognize Palestine as an official state, answering impassioned pleas by pro-Palestinian ministers and activists.


The vote, which took place on Monday evening, saw 274 MPs come out in support of the motion, while 12 voted against.

"This House believes that the Government should recognise the state of Palestine alongside the state of Israel as a contribution to securing a negotiated two-state solution," the motion reads.

A number of politicians chose to abstain from the final vote, including Prime Minister David Cameron and Respect MP George Galloway.

While the motion passed with an overwhelming majority, it does not signify an official change in Britain's position regarding the conflict between Israelis and Palestinians. The government may not officially recognize Palestine as a state, but Reuters notes that it can change that position if it feels doing so would be constructive to the peace process.

Despite many predicting that the motion would fall, MPs recognized it could set a precedent for the future of a Palestinian state. Some ministers, including Labour MP Grahame Morris, called it a "historic opportunity" to take a "small but symbolic" step to support self-determination for Palestine.

The debate on Palestinian statehood was the first hosted by the House of Commons since 2012, after an online petition calling for the motion gathered over 100,000 signatures.

The Swedish parliament also recently voted in favor of recognizing a Palestinian state earlier this month – becoming the first EU country to do so.


Source: RT

http://rt.com/uk/195620-parliament-vote-palestine-recognition/
 
Palestine should be a state like Israel. They have to live alongside peacefuly. I dont see a problem with that!
 
Palestine should be a state like Israel. They have to live alongside peacefuly. I dont see a problem with that!
kwa bahati mbaya sana ni kwamba Israel has expressed their purpose to allow recognition of palestine as a state with recognized borders, but palestinians have been opposing the deal. wapalestina wanataka israel yoote iwe palestine sio maeneo fulani tu kama gaza na westbank. wanataka wale wayahudi waliopo wote wakatumbukizwe mediterenean sea. hivyo UK kama wanaitambua palestina kama nchi ni kichekesho kwasababu palestina wenyewe hawataki kusikia icho kitu, palestina hawataki kusikia kuwa upande mmoja wa mji wa Jerusalem unamilikiwa na wayahudi na eastern jerusalem kwa wapalestina, ingekuwa hivyo mbona vita ingeshaisha, sasa wanaona mipaka ile ikiwepo tu sio vizuri kwao. wazungu wa kiingereza wanafiki sana.

huwa wanajibembeleza sana kwa waarabu na wahindi. nakumbuka miaka ile ya nyuma wapakistan waliruhusiwa kuingia na kupata ukazi hadi uraia UK na wapo wengi sana UK. lakini sasa wameshaanza kuwaogopa kwasababu wamezalina wamekuwa wengi, ni raia wenye haki zote, wanarudi uarabuni kujiunga na vikundi vya kigaidi, misikiti ya maconservative imejaa UK na hawana la kuwafanya kwasababu wanatumia miavuli ya freedom of religion, wanalipua mabom palepale na magaidi wamejaa sana UK. wao wanavyofikiri ni labda wanajibembeleza kwa waislam ili wawaone wazuri kumbe wenzao wanawaona makafiri tu.mpalestina yule hata ukimchukua ukamleta masaki ukampa nyumba hela na kila kitu bado atakuona wewe kafiri tu unayetakiwa kuchinjwa kama hautaamini dini yake.
 
Bunge la Uingereza laitambua Palestina
Bunge la Uingereza limeridhia azimio la kulitambua taifa la Palestina, hatua ambayo waungaji mkono wanasema ni ishara ya wazi kwa Israel, huku Israel ikiita kitendo kinachohujumu jitihada za amani.

Bunge la Uingereza kwenye vikao vyake vya kawaida.
Wabunge 274 waliipigia kura ya ndio hoja iliyowasilishwa na mbunge wa chama cha upinzani cha Labour, Grahame Morris, ambayo inaitaka serikali iitambue Palestina sambaba na taifa la Israel, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kupatikana suluhisho la kuwapo kwa mataifa hayo mawili. Ni kura 12 tu ndizo zilizokataa pendekezo hilo.
"Kura za ndiyo upande wa kulia ni 274, kura za hapana upande wa kushoto ni 12. Na ndiyo wameshinda. Ndiyo wameshinda. Natangaza rasmi suala kuu kama lilivyorekebishwa limekubalika," Spika wa Bunge John Bercow alithibitisha matokeo hayo.
Hata hivyo, kura hiyo haiilazimishi serikali ya Waziri Mkuu David Cameron, kubadili sera yake kuelekea mzozo huo mkongwe wa Mashariki ya Kati, ambao kihistoria ulianzishwa na Himaya ya Uingereza. Lakini mbunge Grahame Morris aliyewasilisha azimio hilo, alimtolea wito Cameron na serikali yake kuakisi uamuzi wa bunge na hivyo kuitambua rasmi Palestina.
"Ni nadra sana kwa bunge kuzungumza kwa kauli moja, kama lilivyofanya leo, na ningependa kumshauri waziri kwa mtazamo wa kila kilichosemwa hapa, kwamba hii ndiyo dhamira ya bunge, na kwamba ni kitu sahihi kuitambua Palestina, na natazamia kuwa atatekeleza hilo." Alisema Morris bungeni.
Serikali haijabadili sera yake

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, akizungumza bungeni.
Waziri anayehusika na masuala ya Mashariki wa Kati, Tobias Ellwood, alisema Uingereza itaitambua Palestina kama dola pale tu hatua itakaposaidia kuleta amani.
Kabla ya kura hiyo kupigwa, msemaji wa ofisi ya waziri mkuu, alisema Uingereza itaendelea kushirikiana na wadau wa kimataifa, zikiwemo Israel na Mamlaka ya Palestina, kuunga mkono suluhisho la madola mawili huru. Waziri Mkuu na wajumbe wa baraza lake la mawaziri walijiepusha na kura hiyo.
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wakati wa Tony Blair, Jack Straw, aliliambia bunge kuwa shinikizo ndiyo lugha pekee inayotambuliwa na utawala wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na hivyo azimio hilo litaongeza uzito kwenye shinikizo la kimataifa la kuutatua mzozo wa Mashariki ya Kati.


Israel yapinga
Tayari Israel, kupitia wizara yake ya mambo ya nje, imetoa taarifa ya kulilaani azimio hilo, ikisema linahujumu uwezekano wa kupatikana kwa amani ya kudumu.
"Kutambuliwa Palestina na jumuiya ya kimataifa katika wakati usio muafaka kunatuma ujumbe kwa uongozi wa Palestina kwamba unaweza kukwepa kufanya maamuzi magumu yanayopaswa kufanywa na pande zote mbili," inasomeka sehemu ya taarifa hiyo ya Israel.
Mapema mwezi huu, Waziri Mkuu wa Sweden, Stefan Lofven, alisema serikali yake italitambua taifa la Palestina, tangazo ambalo nalo liliibua pongezi kutoka kwa Wapalestina na lawama kutoka Israel.
Mwandishi: Mohammed Khelef/AP/Reuters
Mhariri: Oummilkheir Hamidou
Tarehe 14.10.2014
Mwandishi Mohammed Khelef
 
Ungetuwekea hayo maandiko basi ndugu, lakin pia tusaidie kujua lipi si taifa la Mungu, na kama si la Mungu litakuwa Taifa la nani na kwa maandiko yapi.

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Israel ni taifa teule mbele ya mwenyezi Mungu. Ni taifa ambalo limebarikiwa na mwenyezi Mungu toka enzi za Ibrahimu mtumishi wa Mungu. Atakaye walaani waisrael nae atalaaniwa na atakae wabariki nae atabarikiwa. Ukitaka kuwasoma wana wa Israel(Ibrahimu) soma agano la kale kitabu cha mwanzo mpaka Kumbukumbu la torati.
 
Sasa haya mataifa mengine siyo ya mungu ???amka wewe acha ulimbukeni, akili za kuambiwa changanya na za kwako

Ndugu, suala sio ulimbukeni. Mataifa yote ni ya Mungu ila Israel ni taifa teule la mwenyezi Mungu. Hao ni simba wa vita hakuna atakae simama mbele ya Israel.
 
Utakapo fanya jambo tofauti na mwenyezi mungu , utalaaniwa tu, mungu humlipa kila mtu sawa na matendo yake,
Mwenyezi mungu ni mjuzi wa yote na hampunguzii wala hamzidishii mwanaadamu hesabu yake.
Israel nao ni wanaadamu kwa ushenzi wanaofanya kwa kumtegemea marekani hawatoishi kwa amani milele na hiyo ni adhabu tosha kwao.
 
Hata kama wakitambua hao wafilisti haijalishi Israeli itasimama peke coz Mungu yupo pamoja nao. GOD BLESS UR NATION.
 
Ndugu, suala sio ulimbukeni. Mataifa yote ni ya Mungu ila Israel ni taifa teule la mwenyezi Mungu. Hao ni simba wa vita hakuna atakae simama mbele ya Israel.

kuna mijitu mipoyoyo humu duniani, huwezi amini!
 
Wapalestina wakikubali kutambuliwa kabla ya makubaliano ya amani na Israeli wameliwa!

kivip mkuu wawe wameliwa? maana naona itakuwa njia sahihi ya kuimarisha amani eneo hilo! au mpaka israel ikubal kuundwa kwa taifa la palestina?
 
Back
Top Bottom