Ujuzi Hauzeeki

Yaah soka kama unajua unajua tu pumzi na viungo vinakataa lakini upokeaji wako mpira au utoaji wa Pasi mtu anajua kuwa huyu mpira unamjua.
 
Huyo ni mzee kweli..? mbona body kama rais wa wasafi
 
mvii za ukoo izoo... cheki body bado linadai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…