Hawa ndo watetezi wa wanyonge na walalahoi tena walipo chaguliwa cheriko na nderemo na vigeregere vya nguvu tena ukumbi wote lakini upepo hauvumi upande mmoja na hapo sasa naona wanajihami kwa lolote na liwalo na liwe toba ni kusikitisha na kuhuzunika tu