Ujumbe wangu wa leo huu hapa

Wanawapa vijana wetu waendelee kubembea mtaani,chezea sembe weweeeeee
 
Kwa mtaji huu Muathirika wa madawa ya kulevya ataacha matumizi ya madawa kwa nguvu zake yeye mwenyewe na si kuisubiria serikali! Inasikitisha sana! Say no to Drugs....
 
Nenda kwa mkemia mkuu wa serikali kuna stoo maalum ya vitu hivyo, na nyingine huharibiwa.
 
Wanauza halafu hela zinapelekwa kwenye chama chenye wenye magamba!!
 
Kama wabunge hawatasalimika? Basi watafunika kikombe ili wasalimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…