Mkuu phill Nchi yetu ina utajiri mkubwa wa Gesi,Madini,Dhahabu,Almasi na hata Mafuta yapo nchini Tanzania. Lakini nchi yetu hatuna Viongozi wazuri wanawapenda walala hoi Masikini tungelipata Viongozi wanaopenda watu wa hali ya chini basi Suala la Umasikini lingetoweka zamani sana.Lakini wapi Karibia Viongozi wetuwengi wao ni Viongozi Mafisadi unafikiri nchi yetu kweli itaendelea Kimaendeleo?