Ujumbe wangu wa keo huu hapa

MziziMkavuNi ngumu sana kwa asiyetaka kukubaliana na usemi huu ila ni muhimu na ni vyema kufikiri mara mbili kabla ya kutamka neno lolote
 
Ulimi kiungo kidogo lakini matatizo yake Makubwa sana.

Big like kennedy....ulimi huo huo utakufanya uishi vizuri na watu huo huo utakufanya uwe na uhasama na watu.....soo tunatakiwa tuutumie wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…